Shimoni, Kariakoo: Tunaimarisha ulinzi

idoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
3,051
Reaction score
1,423

Askari Polisi akimkagua mfanyabiashara wa jamii ya Kimasai aliyekuwa akiingia Shimoni Soko la Kariakoo
jijini Dar es Salaam jana.

Ikiwa ni mkakati wa kuimarisha ulinzi katika maeneo mbalimbali muhimu na yenye
mikusanyiko ya watu.
 
Hawa Askari jamanii... Mjeda kashika silaha na kaibeba begani... Askari anakaguwa kiunoni khaa!!!
 
Du! sikanyagi shimoni na busha langu ng'o... mpaka wajue ni busha na sio vilipuzi ni kesho yake central police station!... nikiwa hoi... Eh Mola nisaidie...
 
Magaidi Wanafanya Maisha Yetu Kua Magumu Sana.
I Hate The Terrorists!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…