Shimo lililochimbwa linauzwa

Shimo lililochimbwa linauzwa

Pole mkuu, naona changamoto za ufugaji zimekushinda. Ulijua utapiga mihela kutokana na kilimo cha samaki. Hakuna kazi rahisi wewe bora uendelee na mradi wako kuliko kuusukumia kwa watu wengine.
Lifukie then uje PM uniuzie hicho kiwanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sidhani kama alilichimba yeye. Labda wachina walichukua kifusi cha kwenda kutengenezea barabara au wabongo walichenjua makinikia hapo kwenye eneo lake.
 
Hata sidhani kama alilichimba yeye. Labda wachina walichukua kifusi cha kwenda kutengenezea barabara au wabongo walichenjua makinikia hapo kwenye eneo lake.
Usishikiwe sana akili na wachina jiamini kuna lingine naanza kulichimba soon litakuwa na eka 4.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Misugusugu upande upi Kama unaelekea Morogoro, ni upande WA shuleni pale vitendo? Na ni sh ngapi?
 
Hii nchi ina mambo mengi sana!
Kila siku unajua kuna jambo jipya!
Sikuwahi kutana na hiii
 
Mkuu unauza shimo au eneo? Maana kama ni shimo na umechimba kwa mtu itakuwaje?

It is well with my Soul!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom