Shimo lililochimbwa linauzwa

Shimo lililochimbwa linauzwa

Linafaaa kwa ufugaji wa samaki lipo maeneo ya misugu sugu lina ukubwa wa ekari moja , chemchem ipo ndani ya hilo eneo, karibuni wateja
+255713976563

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu, naona changamoto za ufugaji zimekushinda. Ulijua utapiga mihela kutokana na kilimo cha samaki. Hakuna kazi rahisi wewe bora uendelee na mradi wako kuliko kuusukumia kwa watu wengine.
Lifukie then uje PM uniuzie hicho kiwanja.

Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.Sio kila m2 anafuga samaki kiongozi, mimi nimeshafanya shughuli yangu kwa hiyo shimo limebaki ndo nataka niliuze kiongozi.

Sasa si ulifukie mkuu, unataka kumuuzia mtu shimo lenye eka moja, unajua gharama ya kulijaza maji ili kufuga samaki?
Lifukie kwanza mkuu then liuze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
images (7).jpeg
Wenzio wakiuza kitu mtandaoni wanaweka na picha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom