Habari za majukumu wakuu,
Katika pitapita zangu leo mtaani nimekutana na mafundi wakichimba shimo jipya la choo na kulifukia lile la zamani ambalo wamiliki wanadai limekuwa likijaa mara kwa mara..kilichonishangazampaka nimeamua kuuliza hapa,ni size na mtindo wanaotumia kujenga shimo hilo jipya.kwanza shimo linalodaiwa kuwa huwa linajaa mapema ni kubwa (kwa mapana)kuliko hili jipya ingawa hili jipya linaonekana ni refu (futi 16)kwenda chini...halafu hili wanaloita ni la kisasa ni jembamba na wanalijenga kwa zege..mtindo wanaotumia ni kumimina(kufyatua)vitukama mabomba ya zege na kuyapanga kisha wanachimba chini yanasogea ardhini...
Nimeuliza mafundi kuhusu ubora wa aina hii mpya ya shimo la choo wamenihakikishia kuwa huwa hayajai mapema kama haya yanayojengwa kwa matofali...vp kwenu wataalamu wa humu kuna mwenye uzoefu juu ya haya mashimo anipe hakikisho la ubora wa haya mashimo ya zege?