Cardinalist
Member
- Feb 14, 2013
- 43
- 8
Ure assuming !Acheni kutumika vijana. Kila mtu makini anafahamu a-z juu ya Huyu jamaa. Yeye mwenyewe hana moral authority ya kusema mnayomsemea. Mnaleta hoja zisizokuwa na kichwa na mguu hapa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Shimbo ni nini tena!?
Ukiachana na siasa uchwara na propaganda, Shimbo ni mchapa kazi.
Ametumia uwezo wake na upeo akimsaidia Gen Mwamunyange kulibadilisha Jeshi.
Kazi alizofanya naamini wanajeshi watazikumbuka.
Hivi sasa wanajeshi wana hali nzuri.
Naamini ataiwakilisha vyema nchi yetu nchini China
Liberal's thoughtsUkiachana na siasa uchwara na propaganda, Shimbo ni mchapa kazi.
Ametumia uwezo wake na upeo akimsaidia Gen Mwamunyange kulibadilisha Jeshi.
Kazi alizofanya naamini wanajeshi watazikumbuka.
Hivi sasa wanajeshi wana hali nzuri.
Naamini ataiwakilisha vyema nchi yetu nchini China
Kufuatana na utendaji wake sikuwahi kusikia scandal yeyote ya kumhusu huyu jamaa
Tririon tatu nazo hukusikia?
"No Research, No Data, No Right to speak".Kufuatana na utendaji wake sikuwahi kusikia scandal yeyote ya kumhusu huyu jamaa