banalunda JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 231 Reaction score 67 Apr 11, 2015 #41 lukelo sakafu said: viroba + gongo +wanzuki + mtindi + cha arusha + njaa + mziwanda + ugali = jokes at work Click to expand... Mkubwa umesahau na "maharage" japokuwa hatujajua atakuwa amekula ya wapi
lukelo sakafu said: viroba + gongo +wanzuki + mtindi + cha arusha + njaa + mziwanda + ugali = jokes at work Click to expand... Mkubwa umesahau na "maharage" japokuwa hatujajua atakuwa amekula ya wapi
Dickson mwaipopo JF-Expert Member Joined Mar 3, 2015 Posts 480 Reaction score 459 Apr 11, 2015 #42 namm ngoja nikagombee KYELA mjini
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,257 Apr 11, 2015 #43 lolowapi said: Chadema wameufanya ubunge kuwa kitu rahisi,sugu katuharibia bunge. Click to expand... Hao kina Shilole wanagombea kupitia CHADEMA? Kina Kibajaj, Komba (RIP), kina Kapuya, Mtemvu ndio wabunge wa viwango bora kabisa wa CCM, na wamelifanya bunge ling'ae:sly:
lolowapi said: Chadema wameufanya ubunge kuwa kitu rahisi,sugu katuharibia bunge. Click to expand... Hao kina Shilole wanagombea kupitia CHADEMA? Kina Kibajaj, Komba (RIP), kina Kapuya, Mtemvu ndio wabunge wa viwango bora kabisa wa CCM, na wamelifanya bunge ling'ae:sly:
Kazitunayo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2013 Posts 3,784 Reaction score 3,205 Apr 11, 2015 #44 lolowapi said: Chadema wameufanya ubunge kuwa kitu rahisi,sugu katuharibia bunge. Click to expand... Kua na adabu wewe bibi unamfanisha sugu na hawa malaya
lolowapi said: Chadema wameufanya ubunge kuwa kitu rahisi,sugu katuharibia bunge. Click to expand... Kua na adabu wewe bibi unamfanisha sugu na hawa malaya
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 11, 2015 #45 Atatufaa kwa lipi...au anaenda kuwafaa wabunge wa kiume wawapo Dom
D Donald Mgoda Member Joined Mar 1, 2015 Posts 17 Reaction score 3 Apr 11, 2015 #46 Shilole hafai hata kupewa ubalozi wa nyumba kumi kumi
Stuxnet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 17,633 Reaction score 27,718 Apr 11, 2015 #47 Nitawashangaa wananchi wa Igunga wakifanya upuuzi huo. Yaliyotokea Mbeya yabakie Mbeya achaneni kuiga ujinga kama wenzenu waluvyomchagua Sugu. Ule ni uhayawani tu
Nitawashangaa wananchi wa Igunga wakifanya upuuzi huo. Yaliyotokea Mbeya yabakie Mbeya achaneni kuiga ujinga kama wenzenu waluvyomchagua Sugu. Ule ni uhayawani tu
barwani JF-Expert Member Joined Jan 14, 2015 Posts 238 Reaction score 160 Apr 11, 2015 #48 Eeh Yaarabi,Inusuru hii nchi...
Amadoli JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 2,544 Reaction score 2,268 Apr 11, 2015 #49 Mbona marehem capt. John komba mwanamuziki alikua mbunge? ?
ladyisa JF-Expert Member Joined Aug 23, 2014 Posts 660 Reaction score 149 Apr 11, 2015 #50 Duh hats maboga yanataka kugombea ubunge ..basi kazi tunayo mwaka huu
prof kisambuka Senior Member Joined Mar 13, 2015 Posts 132 Reaction score 137 Apr 11, 2015 #51 bunge co club ya kupeleka wanenguaj kma shilole. cha kusitisha hata mbunge wa ss hamjui inadhihirisha anajua wanenguaji wenzake.
bunge co club ya kupeleka wanenguaj kma shilole. cha kusitisha hata mbunge wa ss hamjui inadhihirisha anajua wanenguaji wenzake.
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,747 Apr 11, 2015 #52 Bidada anasaka kiki kwa gharama yeyote.. Kweli hakuja dar kushangaa viberiti!
theki JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 2,721 Reaction score 587 Apr 11, 2015 #53 SHILOLE huyu huyu wa NUHU au kuna mwingine wa Igunga?
Zee la Nyeti JF-Expert Member Joined Aug 5, 2014 Posts 699 Reaction score 464 Apr 11, 2015 #54 Maybe anataka kugombea ubwege
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,257 Reaction score 22,131 Apr 11, 2015 #55 nonsense, kuongoza watu ni zaidi ya kuyaanika maungo yako wazi kwenye jukwaa na kuudhalilisha utu wako. labda atafute harlots constituency
nonsense, kuongoza watu ni zaidi ya kuyaanika maungo yako wazi kwenye jukwaa na kuudhalilisha utu wako. labda atafute harlots constituency
E Edwin mkw JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 544 Reaction score 120 Apr 11, 2015 #56 Amadoli said: Mbona marehem capt. John komba mwanamuziki alikua mbunge? ? Click to expand... Kuna utofaut mkubwa sn kati yao huyu demu ana sfa y kuwa mbunge,aendele tu kupga pcha zake z uchi n uyo boya wake nuh ,ila acjarbu kugombea ubunge
Amadoli said: Mbona marehem capt. John komba mwanamuziki alikua mbunge? ? Click to expand... Kuna utofaut mkubwa sn kati yao huyu demu ana sfa y kuwa mbunge,aendele tu kupga pcha zake z uchi n uyo boya wake nuh ,ila acjarbu kugombea ubunge
Bukwabi JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 3,352 Reaction score 1,154 Apr 14, 2015 #57 Ivenosa said: mmmh CV gani aliyonayo mpaka wananch wamuombe awaongoze Click to expand... Anajua kusoma na kuandika.
Ivenosa said: mmmh CV gani aliyonayo mpaka wananch wamuombe awaongoze Click to expand... Anajua kusoma na kuandika.
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,997 Apr 15, 2015 #58 Bukwabi said: Anajua kusoma na kuandika. Click to expand... Nakushukuru....