Shilingi yaendelea 'kubemendwa'...

mkuu inafaida ukiwa nje ukirudi bongo na madolari zako mbili,ila ukiwa bongo zigeuze sasa ununue dola
 
Hiyo poa sana. Na iendelee kupanda au sijui ndo kushuka huko....
 
Mbona imeshuka? Ilikua 1685 juzi tu
 
Mpaka December, 2015 inaweza kufikia $1=T shs 2,000
 
Kwa spidi hii kufikia uchaguzi mwakani itafikia TZS1800 kwa $1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…