Katika siku za karibuni shillingi ya Tanzania imezidi kushuka thamani dhidi ya dollar za Kimarekani. Juzi juzi shillingiilikuwa inabadishwa 2230 kwa dollar moja ya Kimarekani kwa kiwango cha Benki Kuu ya Tanzania.
Leo hii shillingi 2246 ndiyo sawa na dollar moja ya Kimarekani wakati tunaambiwa uchumi wetu unakuwa kwa kasi ya ajabu.
Tunaelezwa kuwa tunashika namba tatu katika Afrika kwa ukuaji wa uchumi. Tunaumia sana hasa Wazazi wanaosomesha watoto wao nje ya Tanzania.
Nauliza kuna tatizo gani mpaka hali inatokea?.