dosama
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 912
- 957
Prof. Honest Prosper Ngowi abainisha nini sababu ya thamani ya dola kupanda kulinganisha na shilingi ya Tanzania na mbaya zaidi kwa asilimia kubwa na kipi kifanyike upande wa serikali ili hali hii isiwe inajirudia rudia kwa asilimia kubwa kithamani . Mahojiano hayo na Prof. yalifanyika mwezi April 2017 na leo mwaka 2018 hali imejirudia tena
Nini kinafanya dola za kimarekani kuwa nyingi au chache ktk nchi kama Tanzania na kusababisha thamani ya dola kupanda au kushuka :
- Mauzo ya kupeleka nje ya nchi ya Tanzania kupungua
- Nchi ya Tanzania kununua kwa wingi mahitaji, bidhaa na mitambo n.k toka nje ya nchi
- Tanzania kuwa Bajeti tegemezi ya wafadhili toka nje
- Tanzania ijenge viwanda kupunguza manunuzi nchi za nje
- Kuongeza idadi ya wtalii toka nje.
- N.k