Shilingi imegeuka, sasa wadada wananunua penzi

Wanaume tumebakia wachache maana kuna wenzetu wengi wameasi uanaume wao na kuunga mkono majukimu ya wanawake kwa kuanza kutoa huduma sawa na wanawake, lazima tuliobakia tuwe bidhaa adimu. Sikuhizi mtu anakubembeleza uzae nae tu, mtoto atalea mwenyewe.
 
Wakuu wazima...

Sasa shilingi imegeuka upande wa pili, ikiw na maana sasa wadada wananunua penzi.

Hapo awali shilingi kabla haijageuka, vidume walipata tabu sana.

Yani kama huna senti basi kwisha habari yako, ila sasa ngoma droo.

Saivi hata kama huna senti kidume wewe shoo yako iwe karee tu.

Saivi si wanaume wala wadada wananunua penzi, tena wadada wanashika nafasi ya kwanza.

Maana saivi kiumbe mwanaume kapotea hataree, hivyo hamna namna wananunua tu.

Yani saivi raha tu kidume unalambwa miguu tu ili tu ukubali.

Na bado wanaadimika hawa viumbe wa kiume, wadada watanyooka.

Doncute

Mimi mbona natafuta saana ambaye hata sio wa kununua sipatii?? kwa wewe kama unawajua naomba connection mambo mengne yote najiamini nipo full
 
Wakuu wazima...

Sasa shilingi imegeuka upande wa pili, ikiw na maana sasa wadada wananunua penzi.

Hapo awali shilingi kabla haijageuka, vidume walipata tabu sana.

Yani kama huna senti basi kwisha habari yako, ila sasa ngoma droo.

Saivi hata kama huna senti kidume wewe shoo yako iwe karee tu.

Saivi si wanaume wala wadada wananunua penzi, tena wadada wanashika nafasi ya kwanza.

Maana saivi kiumbe mwanaume kapotea hataree, hivyo hamna namna wananunua tu.

Yani saivi raha tu kidume unalambwa miguu tu ili tu ukubali.

Na bado wanaadimika hawa viumbe wa kiume, wadada watanyooka.

Doncute
Dah! Kweli kabisa.

Ilipotokea mara ya kwanza nilishangaa, ilipotokea mara ya pili kwa mtu tofauti nikaduwaa.

Ila wanaume tupambane sana kutafuta maisha tu. Mengine yanafata tu.
 
Back
Top Bottom