Shilingi imegeuka, sasa wadada wananunua penzi

Wakuu wazima...

Sasa shilingi imegeuka upande wa pili, ikiw na maana sasa wadada wananunua penzi.

Hapo awali shilingi kabla haijageuka, vidume walipata tabu sana.

Yani kama huna senti basi kwisha habari yako, ila sasa ngoma droo.

Saivi hata kama huna senti kidume wewe shoo yako iwe karee tu.

Saivi si wanaume wala wadada wananunua penzi, tena wadada wanashika nafasi ya kwanza.

Maana saivi kiumbe mwanaume kapotea hataree, hivyo hamna namna wananunua tu.

Yani saivi raha tu kidume unalambwa miguu tu ili tu ukubali.

Na bado wanaadimika hawa viumbe wa kiume, wadada watanyooka.

Doncute
Sasa mtu asubuhi anakula mkate.... mchana wali usiku chips chipsi yai la kisasa... anashushia na pepsi.... alafu anaenda piga shoo...dakika 5 yuko hoi...hapo kutakuwa na mwanaume... lazima tubaki wachache... na wasipo badilika tutawagongeatu...
 
na mkome..safi sana

Mtawanunua wengine hamnipati ng'o
 
ww utanyooka pia

We s upo dar kwaiyo iv vitu uli au umeamua kuweka wazi full menu yako y siku
 
Eti cheusi wangu, ya kweli haya?

Cc Unforgetable

Mambo yanakwenda kwa kasi sana amor
1.haya ni matokeo ya ke wenye vipato kutopata mapenzi ya kweli na kutotaka kuwa chini ya me kama vitabu vya dini vinavyoanisha

2.me wa sikuizi wapenda miteremko ni wengi,sampuli ya wataftaji na wenye misimamo ya kiume inapotea kwa kasi sana waliobaki ndohawa tunagombea nao lotion na skinjeans

3.wazazi wengi wamepoteza weledi wa makuzi kwa both me na ke labda sababu ya ubize wa kutafuta ela,wengi wanalelewa na mahousegirl or wengine wanakuzwa na jamii huko nje or wajomba/ndugu tunaoishi nao ndomana ushoga nao umekithiri

NOTE; acha tuwanunue tu maana shilling ishageuka amor

Cc Kingsmann
 
Sasa shilingi imegeuka upande wa pili, ikiw na maana sasa wadada wananunua penzi.
mbona mimi siipati hii bahati, nipe namba za hao wanaonunua penzi tafadhali
siitaki iyo ela, papuchi ya bure inatosha
 
Mambo yanakwenda kwa kasi sana amor
1.haya ni matokeo ya ke wenye vipato kutopata mapenzi ya kweli na kutotaka kuwa chini ya me kama vitabu vya dini vinavyoanisha

2.me wa sikuizi wapenda miteremko ni wengi,sampuli ya wataftaji na wenye misimamo ya kiume inapotea kwa kasi sana waliobaki ndohawa tunagombea nao lotion na skinjeans

3.wazazi wengi wamepoteza weledi wa makuzi kwa both me na ke labda sababu ya ubize wa kutafuta ela,wengi wanalelewa na mahousegirl or wengine wanakuzwa na jamii huko nje or wajomba/ndugu tunaoishi nao ndomana ushoga nao umekithiri

NOTE; acha tuwanunue tu maana shilling ishageuka amor

Cc Kingsmann
Ngoja nilale, nikiamka ntacomment vzr juu ya hizi points ulizotoa, now nasinzia

Cc Unforgetable
 
50/50 hiyo akiwezalo mwanaume na mwanamke anaweza,mmetulemaza wenyewe aisee sasa km kuhudumia sio ujanja unadhani mwanaume atakuwa na kazi gani tena ya maana Zaid ya kuto*mba bure,kuvaa na kutafuta hela ya kula...

Usinitishe naweza kujihudumia, usinitishe nitalea mtoto mwenyewe, usinitishe nina maisha yangu mazuri..

Wanaume Sasa sawa jihudumie,sawa lea hao watoto sawa ishi hayo maisha yako mazuri Mwisho wa siku mihamu inamshika anajileta anagongwa kwa mkopo basi anaendelea na kiburi chake na mwanaume anaenda na maisha yake ya kukopa k.

Mpe sex mwanaume umemalizaaaaa 90% ya mahitaji ya Mwanaume kwa mwanamke yameishia hapo hizo 10% ndo ukute mwanamke ana support,muelewa hana stress.

Kifupi dunia hii tungeishi wanaume tupu halafu wanawake wakawa wanaletwa kila Mwisho wa week 85% wanaume wange vote Yesssssssss wakae sayari nyingine waje weekend tuuu....
 
Back
Top Bottom