Shilingi elfu 7800 inatosha

Mwenye namba ya cute love ani-pm kwanza, nimtoe ugenini.

Stress za ugenini siyo nzuri aisee.
Au anitafute mwenyewe.
 
Hahaha ndio maamuzi yenu haya!

Basi nasi tunasema mtakuwa wanachama wa kudumu wa chaputa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuh hivi kuna wanawake hadi leo wanaomba nauli kwa mabaharia?
 
Elfu 7800 na Shs 7,800 ni vitu viwili tofauti.

Elfu 7800 ni sawa na Shs 7 800 000 au million 7 na laki 8
 
Niko kwa muda hapa kimanzichana mkuranga mkoa wa pwani kilomita 45 toka mbagala,njia ya kuelekea kusini,
wamekuja kwa wingi toka dar wamepanga vyumba bei ekelezi ni sh 2500 na chumba chake,ukitaka ukalale nae elfu kumi,dsm vyuma vimekaza,wamehamia huku..
 
Eneo gan linaitwa mkuu baharia mwenzetu

tupe data mabaharia tuzame
 
Hapa hapa kimanzi centre,ukifika unawaambia bodaboda nipelekeni kwenye kijoti 2000 wanakupeleka chap,naulli buku tu,unachagua,jezi/condom wanazo,vyumba vyao,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…