Shiling ya enzi hizo

Shiling ya enzi hizo

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,374
Reaction score
3,972
Very powerful sio sahivi unahitaji 2000 kupata $1.
 

Attachments

  • 1430370422587.jpg
    1430370422587.jpg
    101.1 KB · Views: 1,047
Uchumi wetu hauko sawa kwani hatuuzi bidhaa nyingi nje ya nchi na badala yake tunanunua bidhaa nyingi kutoka nje. Hali hii inasababisha shilingi iyumbe. Wakati umefika sasa kujizatiti kuwa na uchumi unaweka msisitizo kwenye kuuza nje bidhaa na huduma (Export oriented economy)
 
Hii ndio ilikuwa TZ yetu angalia vinywaji kutoka hapa hapa TZ vya nje vilikuwa vichache sana
 
Kama kweli mkuu wa nchi ambaye ndiye 'pride' ya hiyo shilling anasimama hadharani na kuiita 'madafu' ...ngoja niishie hapa!
 
Inch hii haizalishi unategemea nn??watu wajenge viwanda...hii nch ni ya kutoa huduma tu..hatu viwanda vya product...na bado
 
hapa bila.kuondoa ccm na vibaraka wake uctegemee mabadiliko yyt ndan ya nchi hii.ccm ya nyerere cyo hii .CCM hii imejaa mafisadi na wala rushwa wakumbwa .ndiyo maana nchi imedolola vibaya .wanawaza ni njinsi ngan waibe na kupeleka Uswiz
 
Tatizo jingine linaloweza kuua kabisa thamani ya sarafu yetu ni ufisadi uliopindukia. Si vigumu kujua kwamba ukimwaga hela yetu ya madafu mitaani kwa mabilioni kadhaa thamani ya fedha itashuka, thamani ya fedha za kigeni zitapanda na maisha kuongezeka ugumu. Hebu tafakari ni mara ngapi kumetokea "kashfa" ya wajanja flani kijichotea mabilioni? Tena chanzo cha ufisadi huo kuhusisha Benki Kuu?
 
Back
Top Bottom