Umbeya ni uzushi au tukio la ukweli au si la kweli.Ni kusema ukweli ILA tatizo ni kwamba hujaruhusiwa!!!!!!!
Sent from my Startimes Nova N5 using JamiiForums mobile app
Kwa mwanaume wa Dar mbona hiyo kawaida sana! ikiwa dume zima linasikilizaga taarab na anajua kila wimbo wa taarab, dume linapaka poda, lipstick,wave, dume linaoshwa miguu na wanaume wenzake, dume linapakatwa na kidume mwenzie!Mwanaume unakaaje na kuanza kusikiliza shilawadu?
Kafanyaje?yule dada sijui ndio anaitwa hawa aliyeimba na diamond kanitoa machozi masikini.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
C arud kwao kasulu uku.... Lodge nzuuur bei cheee
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Mkuu bado ukweli utabaki haki za binadamu zinakiukwa,wanaozikiuka hawajui kama wanazikiuka na waathirika hawajui kama haki zao zinakiukwa maneno mengine ni porojo tuUmbeya ni uzushi au tukio la ukweli au si la kweli.
Jamii sasa imebadilika sana. Angalia miziki yetu ya bongo fleva now. Imebadilika kwahiyo km ni kuonyesha boxer ni makosa. Leo usingeona boxer au chupi zinauzwa mitaani hata kwenye minada.
Hicho ni kipindi cha wakubwa. Km kuna mtoto wako huwa anaangalia. Chapa fimbo akalale
Wasema ww.Mkuu bado ukweli utabaki haki za binadamu zinakiukwa,wanaozikiuka hawajui kama wanazikiuka na waathirika hawajui kama haki zao zinakiukwa maneno mengine ni porojo tu
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
hawa jamaa kweli wamekosea kuanika aibu za jamaa hadharani lakini Linex kama alijua michongo ya pesa haisomi kwanini akachukue chumba akae muda mrefu
Me tooyule dada sijui ndio anaitwa hawa aliyeimba na diamond kanitoa machozi masikini.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Huyo linex ndio mpumbavu tuu kwanini anapenda mambo ambayo hana uwezo nayo?
Hata hapa hukutakiwa kuwepoNinapingana na hayo maredio na matv kwa sababu nikifanya tathmini sioni mchango chanya wa vipindi vingi vinavyorushwa kwenye jamii!
Kipindi chenyewe kinaitwa shilawadu, eti "shirika la wambea duniani"!
Mwanaume rijali kabisa na heshima zake anakaa kusikiliza umbea?
Tunajenga jamii ya aina gani?
Ieleweke, katika Ukristo imeshasemwa, Wambea na wamajungu hawataurithi ufalme wa mbingu. Ni dhambi kama nyingine - hakuna dhambi inayojenga jamii!
Kazi ni kwako!
LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
Segerea inatuitaaaa.....!Wamekutuma uwasafishe. Shilawadu ni upuuzi unaofanywa na wapuuzi kwa kutumia ujinga wa watanzania
Katika ulimwengu wa wastaarabu huu uharo wa kiume hauwezi kukubalika. Hakika nawaambieni hatma yenu haiko mbali sana. Ikiwezekana anzeni kutafuta cha kufanya kabla mambo hayajaharibika
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mkuu utakemeaje kitu bila kukigusia?Hata hapa hukutakiwa kuwepo
Post sent using JamiiForums mobile app