Nimepata bahati ya kusikiliza wimbo mpya wa msanii shetta lakini nimepata shida kuutofautisha na wimbo wa msanii toka nigeria anayefahamika kwa jina la runtown aliyemshirikisha davido unaoitwa gallardo sijui wenzangu mmeuonaje.
Bongo fleva imepatwa na ugonjwa hatari wa unaigeria, isipoangalia huu ugonjwa utaiua.
Shettah bureee kabisa, nilitegemea atatoa bongo fleva hit ya maana anakuja kutoa naija fleva!!
Sikutaka kuusikia huu utumbo wa sura ya kizee mwenye meno mengi kishetta. .leo nimeisikiliza dah!hamna wimbo mule. .hii mikato wamwachie mesen selekta kibongobongo
Dogo kapewa penati dakika ya 90+ kapaisha ile joint ni Naija flavour ile beat ina vinanda vya Gillardo alafu alitaka aongeze hekaheka kama za Kanyaboya inabidi arudi tena naamini atafanya vizuri.
Hawa waNaija washagundua tumekua maboya acha tuburuzwe tunakopi kila kitu nyambafuuuu zetu.
Tatizo wabongo hatuko stable Kuna miziki ina identity yetu lakin haipew kipaumbele,media nazo zinachangia hili,binafs inaniboa sana media kupiga nyimbo nying za Nigeria za wasanii WA bongo zinatiwa kapun