Shikamooo whatsapp ...!!

Niko kwenye whatsApp ila sina group kwa mwenye kuniadd kwenye group msaada jamani? Thanx
 
wewe si ulipewa maujanja ya kuepuka hii kitu last seen!!
Ukikuta Sms usiisome kwanza nenda pale kwenye " wireless&network" ifungue nenda kwenye" mobile network" iweke Off kwa watumiaji wa techno lakini!!
 
Kuna watu wanakiherehere cha kuanzisha thread tu. baaas.

nimejaribu kuangalia tarehe mara,mbili mbili nikijua ni ile thread iliyopita... Naona hii ni mpya. Sasa nashangaa naona hata maneno yaliyotumika ni kama yanafanana. Dizain copy and paste.
 
nimejaribu kuangalia tarehe mara,mbili mbili nikijua ni ile thread iliyopita... Naona hii ni mpya. Sasa nashangaa naona hata maneno yaliyotumika ni kama yanafanana. Dizain copy and paste.

Ili mradi tu aongeze idadi ya thread. Utoto.com
 
Nakura????? ?
 
nimejaribu kuangalia tarehe mara,mbili mbili nikijua ni ile thread iliyopita... Naona hii ni mpya. Sasa nashangaa naona hata maneno yaliyotumika ni kama yanafanana. Dizain copy and paste.

kinyoba lazima ushangae mtoa mada same person different ID nilichogundua flow ya maneno yake ni yaleyale. kweli ukistaajabu ya .........
 
Last edited by a moderator:

hii ndo original, atlist mleta thread ya jana angeongeza kitu kama yamemkuta au la!
 
last seen at:
frequent chat with:
topics based on:

waongezee hiko kipande
 
Tatizo ni lako mwenyewe ulimzoeza kuchati sas unamlaumu nani? Mkiambia acheni mapenzi ya kwenye Tv mnatuona sisi autidetedi, mwanamke unatakiwa umwonyeshe misimamo akuelewe, tatizo wakati mnapowatongoza mnajionesha mnaswa kila dakika bby, swt, hny, supergate nk unadhani yeye si anjiona bado mtoto kwanini asideke,

Kwa kweli haka ka last seen kananiboaaa,ukute sasa mpenzi wako yuko online muda mrefu halaf hata hakutumii sms ni balaaa yaan ni ugomvi tu bora wangekatoaaaa
 
Kuna app inaitwa lastseen changer ipo kwny android...hii itaonesha uko offline kumbe uko online
 
Hide WhatsApp Status

Last Seen Changer

kwa wale wa android

kama si wa android kazi ni kwako
 
marahaba user, sasa ntakupa upendeleo wewe, ila mwambie huyo mupenzi wako aje anione nimuelekeze vizuri matumizi ya whtsup.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…