Shikamoo wanaume

*Hakuna kazi ngumu Kama kumtoa mwanamke kwenye kochi kumpeleka kitandani wanaume mnaijua hili, ukijaribu utasikia tu "niache Mimi..sikuja kwa ajiri ya mambo hayo"sa ulikuja kuchaji simu Au??*
‍♂
‍♂
 
Wengne wana dharau wanakuja na love bite kbs shingoni maumivu yake kwa mwanmke apo yanachoma Kam pasi.. shikamooni wanaume
 
Michepuko huwa yenyewe inafanyia kazi mapungufu ya njia kuu basi. So usije ukashangaa mchepuko ni mbaya kuliko njia kuu. Wanawake mnatakiwa kuwa wanyeyekevu kwenye ndoa. Hakuna mwaname mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu.
 
*Hakuna kazi ngumu Kama kumtoa mwanamke kwenye kochi kumpeleka kitandani wanaume mnaijua hili, ukijaribu utasikia tu "niache Mimi..sikuja kwa ajiri ya mambo hayo"sa ulikuja kuchaji simu Au??*
‍♂
‍♂
Hahahahaha umenichekesha sana.
 
Ametoka kazini amepitia kwa mchepuko huko anapikiwa chapati za nazi na mchicha uliochanganywa na carrots, shurti kutengenezewa wrap. Haiishii hapo nawekewa maji ya kuoga na upande wa khanga na anakaribishwa kwenye 5x6.

Sasa best yote hayo unayajulia wapi? Au na wewe ni muchepuko ya mutu?
 
Nakwambia ukweli mungu hakumuumba mwanaume hivyo
A man is polygamist in nature
Tokeni hapa. Mnaendekeza tu. Sema niliamini wanaume wote mnacheat baada ya kugundua ex bf wangu alikua na mwanamke mwingine. Nilikua namuona mpole hawez enda nje ila mweee. Nyie kaka zetu nyie
 
Na wewe mpikie chapati za nazi...na mchicha uliochanganywa n.a. karoti
 
Tokeni hapa. Mnaendekeza tu. Sema niliamini wanaume wote mnacheat baada ya kugundua ex bf wangu alikua na mwanamke mwingine. Nilikua namuona mpole hawez enda nje ila mweee. Nyie kaka zetu nyie
Ukitaka ufaidi mapenzi tupe ruksa umjue mwenzio
Yananogaje
 
Wanandoa mna changamoto sana jamani khaa...Ila inabid umuachie Mungu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…