Ametoka kazini amepitia kwa mchepuko huko anapikiwa chapati za nazi na mchicha uliochanganywa na carrots, shutting kutengenezewa wrap. Haiishii hapo nawekewa maji ya kuoga na upande wa khanga na anakatibishwa kwenye 5x6.
Wenyewe wana usemi kuwa hata urudi saa kumi alfajiri ulilala nyumbani. Sasa saa kumi ile kale ka usingizi katamu ndiyo kanakuingia kabla hujaamka kujiandaa. Ndiyo anapoomba haki yake ya ndoa ili usihisi kuwa alikula huko anakotoka.
Ni kweli kbs, sema jamaa nae kaenda masomoni kakaa kule mwaka mzima karejea nyumbani kakuta mkewe (ndoani mwaka wa nane huu) ana mimba kuuuuuubwa ina miezi saba sasa- alichokifanya kaenda na mkewe kupima afya zao kakuta wako poa tu basi anakuzia kuzia kilichopandwa wakati yy hayupo. Utapasuka kichwa mambo hayaMnaudhi
Hako ka paragraph ka pili mi ndo kamenichanganyambona mm sijaelewa Sky hebu weka vizuri maelezo
haijamuacha salama Sky wetu aisee maana naona anaandika ujumbe mzuri lkn mpangilio wa maneno hauelewekiiiHako ka paragraph ka pili mi ndo kamenichanganya
January haitomuacha mtu salama kwa kweli
Asanter. .....Mwanamke mmoja hawezi kata hamu ya rijali
Marahaba wanawake..! Huo ndiyo uanaume..!Ametoka kazini amepitia kwa mchepuko huko anapikiwa chapati za nazi na mchicha uliochanganywa na carrots, shurti kutengenezewa wrap. Haiishii hapo nawekewa maji ya kuoga na upande wa khanga na anakaribishwa kwenye 5x6.
Wenyewe wanausemi kuwa hata urudi saa kumi alfajiri ulilala nyumbani.
Sasa saa kumi ile kale ka usingizi katamu ndiyo kanakuingia kabla hujaamka kujiandaa kwenda kibaruani.
Ndiyo anapoomba haki yake ya ndoa ili usihisi kuwa alikula huko anakotoka.
Mwanaume akitoka kwa mchepuko akija nyumb anajishu na hio siku ataweza akufanyie makubwa kupindukia na full maupendo, ila nyie mnaanza kununa mlangoni hio siku hata nzi akikatiza chooni n ugomvi na usiombe kitu kdg tu kitokee ataongea kama anatangaza bidhaa za alovela