Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,385
- 68,490
wa kushotoEti hapa Sasha ndio yupi?
Ila angalia secret service wasikushtukieNgoja nikague miguu yao, nitakupa jibu.
Ila wangekua wamegeuka kwa nyuma ningekupa jibu fastaa
alaa kumbe na yupi ndio mkubwa?wa kushoto
Yote maisha mkuu.. Maisha haya yenyewe ya kupita tu. Just enjoy and thank for what you havedah hawa itakua huwenda wakijamba wanajamba marashi na wakienda haja kubwa wanatoa keki hawa ndo wasichana bana achana na hi migunga yetu huku sijui imekosa nini maskini
Hihihihihiiiii naomba nikuchokoze.....ndooroooboouw weeeh hahahahahahahdah hawa itakua huwenda wakijamba wanajamba marashi na wakienda haja kubwa wanatoa keki hawa ndo wasichana bana achana na hi migunga yetu huku sijui imekosa nini maskini
sasha ndio mdogo,nadhani mkubwa ushamjuaalaa kumbe na yupi ndio mkubwa?
mkuu,mwogope Mungu!dah hawa itakua huwenda wakijamba wanajamba marashi na wakienda haja kubwa wanatoa keki hawa ndo wasichana bana achana na hi migunga yetu huku sijui imekosa nini maskini
ushauri mzuri,kula gwala mkuu!Yote maisha mkuu.. Maisha haya yenyewe ya kupita tu. Just enjoy and thank for what you have
kwani akili zako zikoje?ahahahaEe Mungu saidia hao walinzi wasiwe na akili kama zangu, maana watapoteza kazi na kuishia jela.
[emoji15] mi huwa nashangaa tu watu wananiambia nina tabia mbaya ntaharibikiwa.kwani akili zako zikoje?ahahaha
sawa banadah hawa itakua huwenda wakijamba wanajamba marashi na wakienda haja kubwa wanatoa keki hawa ndo wasichana bana achana na hi migunga yetu huku sijui imekosa nini maskini
Mkuu hiyo miguu inamsaada kumbe katika kutoa jiduNgoja nikague miguu yao, nitakupa jibu.
Ila wangekua wamegeuka kwa nyuma ningekupa jibu fastaa
kana Bhamura bheitu hyo Wa omwenda mweusi ayiiii ayiiii Ni Msuri mpaka baaaasi Obama Shikamoooo.Eti hapa Sasha ndio yupi?