Shikamoo Mwenye nyumba!!!

Bujibuji si ulinicheka sijainjoy maisha yangu kwa kula mabinti kisa nilijenga kibanda mapema?
sasa majuto ni kwako menyewe wala sio mjukuu.
hizo starehe zako punguza mkuu jenga kwako
 
Lokissa,
umeruka darasa la maisha.......
yaani muda wa kuonja wanawake wa kila aina wewe ulikuwa unajenga?
By Lokissa

katoa somo zuri
kijana umetoka chuo unaanza maisha unakuwa na simu za ghali wakati shuka unazotumia ni za mtumba,
jiko la gas huna, unapikia mkaa,
simu ya Million moja ya nini kama life hujaiweka sawa? ya lakin 4 inatosha laki 6 unaifanyia jambo lingine
hata application za hiyo simu tunazotumia ni chache,
why usijifunge ukatafuta kiwanja taratibu ukaanza kujenga kwako?....
Mimi nikianza maisha nlibahatika kupata fedha za kufanyia research tukiwa chuo,nkapanga chumba,nkanunua makochi yale ya kukunja,na godoro na jiko la mafuta ya taa, na katv ka nchi 21
baadae nkanunua kiwanja,nkajenga taratibu kwa miaka 3 mjini
na kijijini nako nkajenga sambamba kidogo dogo nimeshamaliza kote
baadae nkachukua kamkopo nkaagiza kimkweche life goes on
kwa miaka 6 ya mwanzo niliofanya kazi nimeweza kufikia hapo,
sidaiwi tena mkopo zaidi ya ule wa loan board.
sikuwa na tamaa za vitu vya thamani kama simu au maredio makubwa
sasa ndio nafikiria investments za watoto na hizo simu nina kanokia lumia kananitosha.



Nyie ndio mnaokuwa vicheche uzeeni​



 
kodi ya pango ikikaribia kuisha unakuwa na hasira na kila mtu hadi mwenye nyuma namwona shetani.......heri yako umepata hifadhi kwa mwaJ usibebane na tabia ulizokuwa nazo kwenye nyumba ya kupanga Mwita Maranya atakugeuza kisusio
 
Last edited by a moderator:
ni pm bwana mdogo,maana kule kwangu masaki(kisarawe) kuna kipost kipo hakina kazi kitakufa kijiifadhi.
 
Natafuta hela mama, mimi kujenga sitaki, nataka ninunue Masaki au Oysterbay, namaanisha Masaki ya Kisarawe or Oysterbay ya Babati


mbavu zangu mie..............!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…