Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,144
Ujinga wangeacha,, hio kitu ya kutunguliwa mbona ilijulikana mapema tu , sidhani kama jamaa walihofia hizo drone kutunguliwa , jamaa walitaka tu kupeleka mesej kua tunaweza maana siku zote Iran amekua anatumia proxies hajawahi kushambulia Israel tokea nchini kwake,,,hio ni ishara kwamba kama mnaweza mje tuKusema kweli shambulizi hili litakuwa ni moja ya module kwenye course za kijeshi za nchi nyingi tu, na emphasis ya Wakufunzi hao wa kijeshi itakuwa "Ni failure ya hali ya juu kurusha missiles takribani 300 kwa adui yako na zote zikasambaratishwa angani kabla hazijafikia targets, ni ujinga wa hali ya juu, na ni jambo la kuonea aibu badala ya kujisifu".
Hakijapotea kitu kwanza gharama zake zinakuaga ndogo sana waliopoteza labda wale wa mifumo ya kulinda anga maana makombora yake ni pesa ndefu ,kwahio kutungua kama 300 na zaidi kuna mtu katumia gharama kubwa kuliko mwenzieHizo drones zimepotea bure tu
Umeanza kuokoteza tu-video kutoka Syria au vilivyotengenezwa na AI halafu unatuletea hapa eti hapo ni Israel? 😅😂🤣
eti eehUmeanza kuokoteza tu-video kutoka Syria au vilivyotengenezwa na AI halafu unatuletea hapa eti hapo ni Israel? 😅😂🤣
😆😅🤣 Matumizi mabaya ya silaha. Iran imejiaibisha sana.Hizo drones zimepotea bure tu
Yaan netanyau kile kichwa ni kibovu utashangaa alkhamenei kauwawaIran imeandika historia mpya Ulimwenguni kwa kufanya shambulizi la kipekee ambalo halijawahi kushuhudiwa toka dunia iumbwe...
Shambulizi lile litaendelea kutumika ktk mafunzo ya vyuo vya kijeshi vya nchi za Ulimwengu wa kwanza.
Kwa hakika safari hii Iran imetoa salamu za kipekee si kwa Israel tu bali kwa Marekani, Uingereza, Ufaransa na vifaranga vyao vyotee....
Salamu hizo zimezifika vema nchi zote za mashariki ya kati ambazo kamwe hakuna atakaejaribu kufanya ujinga wowote (kutoa anga au ardhi kwa adui) wa kuomba kupelekewa bando la moto wa droni na makombora 300 kwa mpigo.
Pamoja na mkwara mzito wa Biden kuwa Iran akiishambulia Israel, Biden nae atajibu mashambulizi...lakini wanaume wametimiza ahadi ya kushambulia tena shambulio la kihistoria ambalo halijawahi shuhudiwa popote kwenye Ulimwengu huu. Biden kausoma mchezo, kamkanya kijana wake BN kuwa asijibu chochote, kama haikutosha nae Biden katia mpira kwapani!
Btw: Usitegemee kusikia tena Israel karusha jiwe kwenye ardhi (ubalozi) ya Muajemi...hata kwa bahati mbaya
Iran wameshambulia halafu ligi ya soka ya Israel ikaendelea leo kama kawaida, na kesho tarehe 15 Hapoel atacheza na Maccabi Tel Aviv. Aiseee Israel ina dharau jamani! 😂🤣Sema "kimeumana!"
Yaani kashindwa ata kuua panya wa Israel 😄😄😄
Ningekuwa mimi ni Waziri mkuu wa Israel, huu ulikuwa ni wakati sahihi wa kurusha kombora juu ya jengo la Al Aqsa na kusingizia Makombora ya 🇮🇷 🇮🇷 yameliharimbu jengo hilo.Iran imeandika historia mpya Ulimwenguni kwa kufanya shambulizi la kipekee ambalo halijawahi kushuhudiwa toka dunia iumbwe...
Shambulizi lile litaendelea kutumika ktk mafunzo ya vyuo vya kijeshi vya nchi za Ulimwengu wa kwanza.
Kwa hakika safari hii Iran imetoa salamu za kipekee si kwa Israel tu bali kwa Marekani, Uingereza, Ufaransa na vifaranga vyao vyotee....
Salamu hizo zimezifika vema nchi zote za mashariki ya kati ambazo kamwe hakuna atakaejaribu kufanya ujinga wowote (kutoa anga au ardhi kwa adui) wa kuomba kupelekewa bando la moto wa droni na makombora 300 kwa mpigo.
Pamoja na mkwara mzito wa Biden kuwa Iran akiishambulia Israel, Biden nae atajibu mashambulizi...lakini wanaume wametimiza ahadi ya kushambulia tena shambulio la kihistoria ambalo halijawahi shuhudiwa popote kwenye Ulimwengu huu. Biden kausoma mchezo, kamkanya kijana wake BN kuwa asijibu chochote, kama haikutosha nae Biden katia mpira kwapani!
Btw: Usitegemee kusikia tena Israel karusha jiwe kwenye ardhi (ubalozi) ya Muajemi...hata kwa bahati mbaya
Yaan jambo limetoka moja kwa moja kwake mpaka limefika zile maneno walikuwa wanasema kombora linasafiri masafa marefu sasa tumejionea rasmiIla kwa kweli Irani jana kaonesha kitu amaizing, hajaomba kutumia nchi za jirani kufanya kazi yake, hizo nchi zilishuhudia tu anga inapitishwa silaha kuelekea nchi nyingine. Package ya kitu 300 sio mchezo
The man him self Sikirimimimasikini. Hizi ndio mambo zako.Iran imeandika historia mpya Ulimwenguni kwa kufanya shambulizi la kipekee ambalo halijawahi kushuhudiwa toka dunia iumbwe...
Shambulizi lile litaendelea kutumika ktk mafunzo ya vyuo vya kijeshi vya nchi za Ulimwengu wa kwanza.
Kwa hakika safari hii Iran imetoa salamu za kipekee si kwa Israel tu bali kwa Marekani, Uingereza, Ufaransa na vifaranga vyao vyotee....
Salamu hizo zimezifika vema nchi zote za mashariki ya kati ambazo kamwe hakuna atakaejaribu kufanya ujinga wowote (kutoa anga au ardhi kwa adui) wa kuomba kupelekewa bando la moto wa droni na makombora 300 kwa mpigo.
Pamoja na mkwara mzito wa Biden kuwa Iran akiishambulia Israel, Biden nae atajibu mashambulizi...lakini wanaume wametimiza ahadi ya kushambulia tena shambulio la kihistoria ambalo halijawahi shuhudiwa popote kwenye Ulimwengu huu. Biden kausoma mchezo, kamkanya kijana wake BN kuwa asijibu chochote, kama haikutosha nae Biden katia mpira kwapani!
Btw: Usitegemee kusikia tena Israel karusha jiwe kwenye ardhi (ubalozi) ya Muajemi...hata kwa bahati mbaya
kula chuma kingine hiki hapa, mubashara kabisaUmeanza kuokoteza tu-video kutoka Syria au vilivyotengenezwa na AI halafu unatuletea hapa eti hapo ni Israel? 😅😂🤣
Mbona hata Saddamu hussen alifanya mashambulizi kama haya alirusha scud za kutosha hata hazikumuua inzi ndani israel baada ya israel kushambulia kinu cha nuklia cha saddamu hussenIran imeandika historia mpya Ulimwenguni kwa kufanya shambulizi la kipekee ambalo halijawahi kushuhudiwa toka dunia iumbwe...
Shambulizi lile litaendelea kutumika ktk mafunzo ya vyuo vya kijeshi vya nchi za Ulimwengu wa kwanza.
Kwa hakika safari hii Iran imetoa salamu za kipekee si kwa Israel tu bali kwa Marekani, Uingereza, Ufaransa na vifaranga vyao vyotee....
Salamu hizo zimezifika vema nchi zote za mashariki ya kati ambazo kamwe hakuna atakaejaribu kufanya ujinga wowote (kutoa anga au ardhi kwa adui) wa kuomba kupelekewa bando la moto wa droni na makombora 300 kwa mpigo.
Pamoja na mkwara mzito wa Biden kuwa Iran akiishambulia Israel, Biden nae atajibu mashambulizi...lakini wanaume wametimiza ahadi ya kushambulia tena shambulio la kihistoria ambalo halijawahi shuhudiwa popote kwenye Ulimwengu huu. Biden kausoma mchezo, kamkanya kijana wake BN kuwa asijibu chochote, kama haikutosha nae Biden katia mpira kwapani!
Btw: Usitegemee kusikia tena Israel karusha jiwe kwenye ardhi (ubalozi) ya Muajemi...hata kwa bahati mbaya
Brigedia Generali Reem Aminoach wa Israel amekujibu hapa chini:
Utakapoanza kulia lia tutaufukua uzi wako huuIran imeandika historia mpya Ulimwenguni kwa kufanya shambulizi la kipekee ambalo halijawahi kushuhudiwa toka dunia iumbwe...