Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Habari za hapo uyole ya Kati, wasalimie kesho pale imezuSawasawa....muda utasema
Ni ushabiki tu kama wa Simba na Yanga, ama R. Madrid na BarcelonaHizi habari za hao mabwanyeye hivi huwa zinawafurahisha vipi?
Nasikia alifanya kwanza shambulio la kimtandao, ukanda wote ukawa unaona namba namba tu, hadi safari za ndege zikasitishwaIla kwa kweli Irani jana kaonesha kitu amaizing, hajaomba kutumia nchi za jirani kufanya kazi yake, hizo nchi zilishuhudia tu anga inapitishwa silaha kuelekea nchi nyingine. Package ya kitu 300 sio mchezo
Labda useme hivyoNi ushabiki tu kama wa Simba na Yanga, ama R.Madrid na Barcelona
Sawa nitawasalimu mkuu...karibu sanaHabari za hapo uyole ya Kati, wasalimie kesho pale imezu
Mkuu ni noma na nusu, imagine umekaa area D pale royal ya Dodoma unatizama juu unaona anga limetapakaa silaha za kivita, ila unaambiwa tulia hazikuhusu hizo zinaelekea Msumbiji, wewe unakunhwa beer msumbiji wanakimbizana na hicho kinachowakimbiza komepita juu yako pasipo madhala tena toka nchi ya mbali zaidi zaidi....nimependa hii....🤪 🤪 🤪Nasikia alifanya kwanza shambulio la kimtandao, ukanda wote ukawa unaona namba namba tu, hadi safari za ndege zikasitishwa
Je yamefanikiwa kuleta madhara au damage imekuwa ndogo kuliko matarajio?Ila kwa kweli Irani jana kaonesha kitu amaizing, hajaomba kutumia nchi za jirani kufanya kazi yake, hizo nchi zilishuhudia tu anga inapitishwa silaha kuelekea nchi nyingine. Package ya kitu 300 sio mchezo
Kusema kweli shambulizi hili litakuwa ni moja ya module kwenye course za kijeshi za nchi nyingi tu, na emphasis ya Wakufunzi hao wa kijeshi itakuwa "Ni failure ya hali ya juu kurusha missiles takribani 300 kwa adui yako na zote zikasambaratishwa angani kabla hazijafikia targets, ni ujinga wa hali ya juu, na ni jambo la kuonea aibu badala ya kujisifu".