Shikamoo Man United mnatisha

bartenderznz

JF-Expert Member
Jul 18, 2016
398
195
Nimeikumbuka ile man u ya Roy Kean,Nick Butty,David Becam na Jap Stam,kuna usuluhu pale kati na watu wanapambana kweli kweli.Pogba anamiguu kama kijiko yaani ni noma!
Ibrahimovic anapiga vichwa kama yule beberu wangu wa kijijini enzi zile.HAHA!HAHA! usingizi umerudi tena.
Uahauri wa bure Wenger tumepia pesa unawatesa waahabiki wako huku kitaa wameanza kuhama maskani.
 
Ha ha ha.. Mkuu lile pogba na hatari.. Lina uwezo,speed, nguvu, pass accurate.... Ibrahimovic ndo atasumbua sana mabeki kutokana na uzoefu wake,nguvu na urefu..
Ukirud kw Eric baily. Ile beki ni ya kufa mmasai lazima msimu huu itavunja mtu mguu.. Mwambie wenger aache ugumu
 
Ibrahimovic atawaumbua wale wanaotudanganyaga kuwa kiwango cha mchezaji kinategemea na ligi anayocheza.

Anayejua anajua tu, popote utakapompeleka atafanya yake as long as anajua.
 
1471787141680.jpg

Bundi yupo kwa Mzee Wengewenge
 
Ibrahimovic atawaumbua wale wanaotudanganyaga kuwa kiwango cha mchezaji kinategemea na ligi anayocheza.

Anayejua anajua tu, popote utakapompeleka atafanya yake as long as anajua.
goli 2 za kchwa toka kwenye move isiyo na kichwa wala miguu..tayari makelele,ligi inaisha mwakan mwez wa 5!
 
Back
Top Bottom