Huwa nawashangaa watu ambao sio wafanyabiashara na wanalia eti maisha magumu. Zaman nlikuaga nashangaa ndg yangu mmoja ana duka kubwa sana ila ukimuomba hata buku anasema hana, nikadhan ana roho mbaya. Miaka hii najionea mwenyewe, hadi nataman nikamuombe msamaha
Kuna mmoja alifungua goli la chips hapa kitaa basi ndani ya 2 weeks Jamaa shavu dodo,kitambi kama chote na goli likafa,kumbe alikuwa anakula inventories.
Biashara inakuhitaji uwe na nidhamu kwa kila shilingi, unaweza kuwekeza pesa nyingi ila faida ikawa kidogo sana kama bei ya kreti; usipokuwa na nidhamu lazima biashara ife.