Shikamoo baby!!!

Mimi hii ilinishinda mnalala wote mnajambiana halafu asubuhi et shikamoo nyoo siwezi! Ukitoa Salam tu ya mungu sijawahi msalimia ba mtu 🤣
Kwanza ikitokea siku mmegombana utampa shikamoo 😹😹😹

Limtu linasokomeza mbichwa wake kwa bibi kulamba kibumbu halafu nilipe shikamoo..!!😹
 
Wanawake wengine kama mataahira eti shikamoo mume wangu🤣🤣🤣🤣🤣
😹😹😹 Siamkii toto la mtu mimi..!!
Kuna wale wengine wanavuka mipaka eti mume wake anamuita baba 🤣

Cheo cha baba yangu nimpe mwanaume tunayekalishana chuma mboga? Sifanyi ufala huo.
Majina km yameisha nakuita jina lako uliopewa na wazazi wako tusichoshane..!!
 
Mm 28 mkee ni 23 Miaka 6 ya kuwa pamoja ananisalia kama kawaida.
Now mama na mwana wote napata salamu.
Ila binti yoyote hata kama yupo under 18 siwezi kubali salamu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…