Shikamoo aitel kwa safety hii!!!!!!!!???????

Shikamoo aitel kwa safety hii!!!!!!!!???????

da irritant boy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
405
Reaction score
452
nilitembelewa na ndugu hapa tanzania aliekuwa akitokea kwa obama,kwa kuwa simu zao hazina sehemu ya kupachika laini ilimbidi anunue simu mpya,baada ya kununua simu hiyo nilimpatia laini yangu ya aitel atumie kwa mawasiliano pindi atakapokuwa nchini..aliitumia kwa muda wote aliokuwepo tanzania(mwezi mmoja),,,siku ya kuondoka alinikabidhi laini yangu ,kuangalia salio ilikuwa kiasi kikubwa saana cha pesa kwa sikuwa mtumiaji wa aitel nikasema ngoja nikauze kwa wakala kama salio....kufika kwa wakala katika kutumia huduma ile ya me2u kuna sehemu ikahitaji password daah macho yalinitoka kwa sababu sikuwahi kutumia huduma ile kabla ya hapo.nilijaribu password zangu zoote nazotumia kwenye aitelmoney,wapiii ...bhasi nikaishia kurudi nyumbani na salio langu,sasa wanajamvi kama kuna njia nyingine ya kurusha salio kwa aitel au mbadala wowote naomba mnisaidie,
 
Aitel!!!!!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
#mzalendo ahsante nimejaribu hizo pin zimegoma daah ngoja aitel watapita maana huwa wanajibu mashtaka yao mara moja moja saana #mtumpole ha ha ha haya nimerekebisha shuka suluhisho sasa
 
Back
Top Bottom