Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
“Kazi ya maendeleo itafanywa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, mimi pamoja na ninyi wananchi. Ninatakiwa kuwa na wasaidizi wengine ambao ni madiwani wa CCM, hivyo kazi kubwa kwetu ni mwezi Oktoba kujitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura,” alisema Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo.
Aidha, amewataka wananchi wa Buchosa kujitokeza kwa wingi ili kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo akisisitiza kuwa Buchosa imepiga hatua kubwa lakini bado kazi haijaisha.
Aidha, amewataka wananchi wa Buchosa kujitokeza kwa wingi ili kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo akisisitiza kuwa Buchosa imepiga hatua kubwa lakini bado kazi haijaisha.