Shigongo: Hivi ndivyo nilivyomalizana na CCM

Maelezo mareeefu na anatafsiri kiingereza humo humo kama kamusi lakini habari yenyewe haituhusu
 
Amefanya biashara wakati mbaya.
Yaani fedha za taasisi nzima apewe peke yake, wakati huu, hilo ni gumu sana
 
Nampa pole sana. Ataendelea kulalama ili walimwengu tumuonee huruma kwa kufanya biashara zisizo na uthibisho
 
Huo mfano wa dawa ya mswaki na mswaki nimeupenda, kama ilivo kwa wagumba huwezi omba mtoto kwa mungu halafu hufanyi tendo huo pia niwenda wazimu lazima u do.
 
Story gani hii!,Kwa hiyo tukusaidiaje?
 
Mambo yenu ya kifamilia yanatuhusu nini sisi ambao si waukoo wa ngeder?...
 


Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Hii aya naanza kuamini kisi cha wale vijana wa UKAWA wa kujumlisha matokeo.
 
Huyo naye pimbi tu kaonana na Kinana kaipyatapyata sound kibao hata mia. Kama CCM wanamjali si wangekwenda bank kununua deni lake ili wadaiwe wao ccm. Kwa akili za watu wa aina hii Tanzania na ccm yao wana safari ndefu sana. Yaani zuzu anakubali kufarijika kuonana na mzee Tembo na maneno yake basi.
 
Great thinker !
 
Reactions: ydn
Hili ni suala la kibiashara, wala si la kichama, mahusiano yaliyopo hapo ni ya Mnunuaji na Muuzaji, vikao vya ccm vinahusikaje hapo, hili nalo linakushinda kufikiri

Sasa nawe umeshindwa kufikiri kuwa hiyo ni Propaganda? basi kunywa maji mwanangu!
 
'I SALUTE YOU SIR'
 
NAKUKUGIJE NKOYI INJAGA MBEHO BHAKUJIFUNYA DU ONG'WISE.
 
Ndefu s
Ndefu sana mpaka inachosha kusoma, please try to summerize it and repost it....
 
Malipo ya namna hii bado inaweza kuwa dili...because hakuna mahali tunaweza kuaudit au kuthibitisha supply ya vitu hivyo..vitu hivyo havipo na zitasemwa zimegawiwa kwa wapenzi wakati wa uchaguzi...mandhari ulilalamika kupitia mitandaoni iweke delivery note hapa na kiasi unachodai???Vinginevyo uchunguzi zaidi unahitajika hapa sio kwa maana yako Shigongo peke yake bali hata maafisa wa chama waliohusika.....big question
 
Naomba nikuulize swali, hivi CCM waliitisha hii tenda ya makofia na T-shirt? Walijuaje kama wewe ni muuzaji wa hivyo vitu kwa thamani stahiki?
Acha uchokozi! Ngoja uambiwe umetumwa na bavicha
 
Acha uchokozi! Ngoja uambiwe umetumwa na bavicha
Hapana huo sio uchokozi au uchochezi ni mtizamo wa taratibu za manunuzi katika taasisi. Sasa nashindwa kuelewa Shigongo anaishtaki CCM kwamba haifuati ustaarabu wa manunuzi wa kitaasisi au anataka kutuambia kwamba kuna manunuzi hewa au kuna mikataba haramu ya manunuzi aliyoingia na CCM?
 
Ivi Kuna MTU anaquote hilo Ribaruaaa.Acheni ujingaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…