Shigongo: Hivi ndivyo nilivyomalizana na CCM

hahaaaaa...hana lolote anajishaua tu kashapigwa mikwaraa...!!

wapiii!!na hulipweli ht mia...

watakutumia hvyo hvyo!

si useme tu mkulu hajakupa ht ukuregenzi una hasiraa...kapewa hadi Hudson Kamoga..
 
 
Hahahahah shigongo bhana eti anajisifia kuwa kada mwaminifu hahahah[emoji23]

Haya CCM wasipokulipa na wakikuzingua tena usije kulalamika kwenye hivyo vigazeti vyako kutafuta public sympathy.

Nilidhani unelipwa kumbe umepewa maneno matupu hheheheh unasahau kuwa mkono mtupu haulambwi .

Naamini unasoma huu Uzi maana hiyo ishu ya wewe kuuza T-shirt kwa 95000 ilitoka humu .

Halafu acha unafiki unapoonewa wewe ndipo unapomlilia MUNGU Ila wewe unavyowaonea wengine wala humshiriki huyo MUNGU wako


Mi naomba CCM wasikulipe kabisa halafu tuone kama utakisifia chama [emoji16]
 
Kinana ni shida hata maji hajamkaribisha anaishia kumpiga sound...Lumumba hali si shwari, magu anawasomesha hata wenzake...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jukwaa la MMU hulijui?!!!

poleeee
[emoji2] [emoji2] [emoji2] umetoka kwenye PM leo msamiati Mwengine... Pole sio dawa haiponyeshi niambie wapi nikufate [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisehh!sasa we humu wayajua majukwaa mangapi?!!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] umetoka kwenye PM leo msamiati Mwengine... Pole sio dawa haiponyeshi niambie wapi nikufate [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Naona amekuja na hadithi zake za watoto wa std 4, usanii ni usanii tu, anyway biashara ilikuwa ya kisanii malizeni kisanii!
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
hapo kwenye kupaza sauti baba, Inabidi kwanza tufundishwe tofauti ya ukweli na uchochezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…