SHIGELA is a disgrace to CCM

SHIGELA is a disgrace to CCM

Team Lumumba

Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
54
Reaction score
32
Wanajamvi

Nikiwa ni Kada wa CCM ninayetambua Umuhimu wa Youth Wing katika Uhai wa Chama chochote cha siasa nachelea kusema waziwazi kwamba Katibu wetu wa UVCCM bwn. Martini Shigela ni Mzigo.

Ni Mtu ambaye kauli zake

1. Hazivutii ( Maana zimejaa propaganda kuliko Facts)
2. Hazina Logic

Martin Shigela ni Mtu anayeongea utadhani ni CCM peke yake wanamsikiliza.

Moja kati ya Kauli za Shigela zenye Ukakasi na Kutia Kinyaa na zisizo na Mvuto wala Mantiki

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa UVCCM, Martine Shigela, alisema kuwa wana wasiwasi na mafunzo yatakayotolewa na Chadema, yatakuwa na ‘sura ya kigaidi' kwa vile yatafanyika kwa siri.

Hapa ananukuliwa akisema kwamba

"
Tunalaani vikali mafunzo hayo, hayana tija yoyote kwa jamii yeyote,"
Gazeti la Nipashe

Hivi Shigela ni Mungu mpaka ajue Mafunze kwa Vijana wa Chadema YATAKUWEJE?

Kwa mujibu wa Shigela, UVCCM haifanyi kazi za ulinzi kama `red brigade' badala yake wanaangalia ni jinsi gani vijana wanaboreshewa huduma mbalimbali za kijamii kupitia siasa

Cheki hii picha halafu useme kweli Kijana anayemsikiliza Shigela akiangalia hii picha atasemaje kuhusu aina ya Viongozi walio ndani ya CCM

Hii Picha Imetudhalilsha sana CCM, Imemdhalilisha sana Mwenyekiti Ukitegemea Kauli yake aliyoitoa Juzi dhidi ya Wapinzani.

Sasa tukiulizwa kwamba CCM tunamiliki silaha za kivita tutasemaje? Tutasema tuliazima polisi au Jeshini kwa ajili ya Gwaride? Je Chama chochote kinaruhusiwa Kuazima Silaha kama hii? Tukiulizwa hawa watoto wana Umri wa Miaka Mingapi Tutajibu vipi

Shigela must Go, Umeshindwa kumshauri Mwenyekiti Mpaka amedhalilika kwa kiasi Kikubwa

Well Tunaweza kufanikiwa (Kuwin) kuwanyamazisha akina Slaa, Zitto lakini tukapoteza Mvuto kwa wananchi.
 
7.jpg
 
Afadhali CCM wewe una busara kushinda Mwigulu,mwenyekiti na wapuuzi wengine weengi waliojaa Lipumba.vu ndani ya Ccm
 
Haya mawazo sio ya mwana CCM laiti kama wewe ni mwanaccm na una siasa safi kiasi hicho na upeo mkubwa wa kufikiria nakushauri njoo cdm this is the right place to u,U r so brave nina uhakika unamshinda uwezo wa kufikiria hadi baba Riz1 wako

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wanajamvi

Nikiwa ni Kada wa CCM ninayetambua Umuhimu wa Youth Wing katika Uhai wa Chama chochote cha siasa nachelea kusema waziwazi kwamba our Katibu wetu wa UVCCM bw Martini Shigela ni Mzigo.

Ni Mtu ambaye kauli zake

1. Hazivutii ( Maana zimejaa propaganda kuliko Facts)
2. Hazina Logic

Martin Shigela ni Mtu anayeongea utadhani ni CCM peke yake wanamsikiliza.

Moja kati ya Kauli za Shigela zenye Ukakasi na Kutia Kinyaa na zisizo na Mvuto wala Mantiki

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa UVCCM, Martine Shigela, alisema kuwa wana wasiwasi na mafunzo yatakayotolewa na Chadema, yatakuwa na ‘sura ya kigaidi’ kwa vile yatafanyika kwa siri.

Hapa ananukuliwa akisema kwamba

“ Gazeti la Nipashe

Hivi Shigela ni Mungu mpaka ajue Mafunze kwa Vijana wa Chadema YATAKUWEJE?

Kwa mujibu wa Shigela, UVCCM haifanyi kazi za ulinzi kama `red brigade’ badala yake wanaangalia ni jinsi gani vijana wanaboreshewa huduma mbalimbali za kijamii kupitia siasa

Cheki hii picha halafu useme kweli Kijana anayemsikiliza Shigela akiangalia hii picha atasemaje kuhusu aina ya Viongozi walio ndani ya CCM

Hii Picha Imetudhalilsha sana CCM, Imemdhalilisha sana Mwenyekiti Ukitegemea Kauli yake aliyoitoa Juzi dhidi ya Wapinzani.

Sasa tukiulizwa kwamba CCM tunamiliki silaha za kivita tutasemaje? Tutasema tuliazima polisi au Jeshini kwa ajili ya Gwaride? Je Chama chochote kinaruhusiwa Kuazima Silaha kama hii? Tukiulizwa hawa watoto wana Umri wa Miaka Mingapi Tutajibu vipi

Shigela must Go, Umeshindwa kumshauri Mwenyekiti Mpaka amedhalilika kwa kiasi Kikubwa

Well Tunaweza kufanikiwa (Kuwin) kuwanyamazisha akina Slaa, Zitto lakini tukapoteza Mvuto kwa wananchi.

usijifanye mwana s ccm we gaidi wa chadema
 
Hakika Shigela is at the Exit Door. Jamaa yupo yupo tu hata haisaidii CCM. Naona Kilio cha CCM Wazazi kimesikika na sasa Shigela amekalia kuti kavu UVCCM

Hongera sana Le Mutuz william Malecela
 
Last edited by a moderator:
Team Lumumba kwa kuwa umeshakiri mapungufu ya chama chako, unafanya nini huko CCM? Unadhani kuna kubadilika tena after 51 year of independence? Chukua maamuzi sasa! KARIBU CHADEMA.
 
Last edited by a moderator:
nashindwa kuelewa,ni kwanini jeshi la polisi halihoji uhalali wa green guard kumpigia salut mr.dhaifu.
 
Team Lumumba kwa kuwa umeshakiri mapungufu ya chama chako, unafanya nini huko CCM? Unadhani kuna kubadilika tena after 51 year of independence? Chukua maamuzi sasa! KARIBU CHADEMA.

Mkuu Kazi niliyoianza CCM naona inaanza kuzaa Mtaunda baada ya Shigela sasa itakuwa zamu ya Naibu Katibu Mkuu Mwigulu Nchemba na Misukule wake Juliana Shonza na Mtela Mwampamba NAKUHAKIKISHIA WATANG"OKA. Mkuu bado naipenda CCM kama chama ila nachukizwa na Siasa za Baadhi ya Viongozi na Utegemezi uliokithiri kwa Vyombo vya Dola hasa Jeshi la Polisi. CCM kimekuwa chma legelege sana lakini naamini kabisa tutakisafisha ili badala ya Kutegemea Mabomu ya Polisi tuanze Kupambana kwa Hoja
 
Back
Top Bottom