maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,811
- 2,359
kwa namna hii mambo yanavyokwenda tutapiga maktime sana bila kuwa na watu wachache wenye akili wanaopewa dhamana kupanga mambo kwa niaba ya taifa viongozi kazi yao ni utekelezaji na mipago hiyo iwe kwa miaka kadhaa na ukawa ndiyo dira sio MTU anatoka vichakani anafuta lililopo na kuanza akifeli tayari kashatufelisha na kutuchelewesha sana.
Ebu fikiria kwa miaka 58 bado sis ni taifa maskini hatukuwa na vita wala vurugu yeyote alafu tupo tupo ni aibu sana inatuuma sana sisi wazalendo
Ebu fikiria kwa miaka 58 bado sis ni taifa maskini hatukuwa na vita wala vurugu yeyote alafu tupo tupo ni aibu sana inatuuma sana sisi wazalendo