Niliipostigi mda, sasa juzi kati nkapata solution yake, so nadhani itakuwa poa ka nkishare nanyi wakuu.
Kabla ya yote, hii inawahusu zaidi wale wanaotumia Google Wallet kwenye malipo ya Pro/Ads-free Apps kutoka Google Play.
Kama hapo awali ushawahi kutana na tatizo hili, just tembelea tovuti ya Google au akaunti yako ya Google nenda kwenye Payments.
Then, remove the account method (credit card yako) uliokuwa unatumia hapo mwanzo (ambayo inasumbua). Ukishaiondoa, ongeza (add) a payment method, yaani rudia kuweka account yako unayoitumia kufanya manunuzi online.
Baada ya hapo, jaribu kununua some pro/paid app toka Google Play.