Shida ya Matokeo ya Kidato cha Sita Mwaka 2008

Shida ya Matokeo ya Kidato cha Sita Mwaka 2008

Mkwala

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
1,180
Reaction score
1,278
Wasalaam,
Bila ya kupoteza muda kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu.Nimekuwa napata shida kuyapata Matokea ya Kidato cha Sita kwa mwaka 2008,nimejaribu kugoogle kwa kila hali hayaonekani.Sasa napenda kujua wajuzi wa mambo inakuwaje matokeo haya yasiwepo kwenye mtandao ile hali miaka mingine matokeo yake yapo (Mfano ACSEE 2006.....2007,...., 2009 n.k). Naomba msaada kwa mwenye kusaidia kutatua suala hili kuna kitu nataka kufanyia kazi kupitia upatikanaji wa matokeo ya ACSEE-2008

Nashukuru kwa ushirikiano
 
Tumia wayback machine nenda site ya necta katika mwaka huo utayapata
 
Back
Top Bottom