Chanzo Cha Matatizo (CCM)Habari Wakuu.
Ukiwa makini utaelewa kwamba hapa Tanzania shida sio CCM shida ni Watanzania wenyewe (ambao wanaunda CCM).
Hivyo basi hata kama chama kingine kikiingia Madarakani shida na vilio vitakuwa ni vilevile tena inawezekana ikawa zaidi. WHY? kwasababu shida sio chama shida ni watanzania wenyewe.
Kwani CCM wao ni waburundi?Habari Wakuu.
Ukiwa makini utaelewa kwamba hapa Tanzania shida sio CCM shida ni Watanzania wenyewe (ambao wanaunda CCM).
Hivyo basi hata kama chama kingine kikiingia Madarakani shida na vilio vitakuwa ni vilevile tena inawezekana ikawa zaidi. WHY? kwasababu shida sio chama shida ni watanzania wenyewe.
We haupo sawa tafuta therapistMungu nifundishe kunyamaza
Dah kumbe we daktari, basi anzisha hospital ya keyboardWe haupo sawa tafuta therapist
Mkuu wewe ni mmoja ya Watanzania wanao jielewa.Akili nzima ya taifa imegeukia kwenye makalio ya huyu binti.
Unategemea mabadiriko chanya yapi? Wakati mbongo akili inawaza waza mavi mavi muda woteee
View attachment 3398214
Habari Wakuu.
Ukiwa makini utaelewa kwamba hapa Tanzania shida sio CCM shida ni Watanzania wenyewe (ambao wanaunda CCM).
Hivyo basi hata kama chama kingine kikiingia Madarakani shida na vilio vitakuwa ni vilevile tena inawezekana ikawa zaidi. WHY? kwasababu shida sio chama shida ni watanzania wenyewe.
Chama kinatengenezwa na twiga wa Serengeti kumbe?Na ndiyo maana nimesema shida ni Watanzania sio chama Mkuu.
Kama shida ni CCM kwa nini wana Nchi tusichukue maamuzi magumu au tupo kwa ule usemi NANI ATAMFUNGA PANYA KENGELE?Chanzo Cha Matatizo (CCM)
adui wetu makubwa ni katiba ya mwaka 1977 na utawala dhalimu wa CCM
Tujiulize wenyewe na majibu tunayo kila mmoja wetu mkuuKama shida ni CCM kwa nini wana Nchi tusichukue maamuzi magumu au tupo kwa ule usemi NANI ATAMFUNGA PANYA KENGELE?
Sisi ni wabinafsi ndio unao tutesa.Tujiulize wenyewe na majibu tunayo kila mmoja wetu mkuu
Mimi naona bora tule ugali tu , yakitushinda tunaomba uraia wa nchi zinazotuvutia tu , dunia ni yetu sote mipaka ya mkoloni tuSisi ni wabinafsi ndio unao tutesa.
Mimi nachojua watz wengi wanakipenda chama cha mapinduzi, hasa watu waishio mijini hii ni kwa utafiti niliofanya. Atakayejaribu kunipinga ahakikishe naye amefanya utafiti kwani tafiti hupingwa kwa tafiti.Habari Wakuu.