Okay,,,kwahyo nifanyaje hiyo Google assistant niizime?Inawezekana kuwa vyote mkuu, hapo ume trigger Google assistant so either earphones mbovu ama port ya simu. Earphones zote ulizotumia hakuna OG hata moja? Maana Oraimo nao Tia maji Tia maji.
Hizo ni earphones wireless,.. Sensitivity yake inapeleka command kwenye simu. Ndiyo uboya wa hizi earpods za sasa.Habari wakuu,,hopefully mko poa..Mimi aysee naomba mnisaidie kitu kimoja wataalamu wa Tech..Nimekuwa Nikinunua Earphones lakini baada ya muda kidogo tu zinaanza kupoteza ufanisi wake..Mfano ukijitikisa tu unashangaa muziki unaji'pause au unajipunguza sauti au kujiongeza..Then haiishii hapo inaleta ujumbe huu ntatuma picha hapo...Naombeni utatuzi shida inaweza kuwa ni simu au Earphones?,,Simu ni Samsung na Earphones ni Oraimo..Ahsanteni View attachment 3595297View attachment 3595299
Zima iyo googleOkay,,,kwahyo nifanyaje hiyo Google assistant niizime?
Unaweza kuizima Ila sio solution, kwa kuanzia tafuta brand nzuri, hata earphones za vitochi nzuri kama za Samsung, uone kama tatizo linaendelea.Okay,,,kwahyo nifanyaje hiyo Google assistant niizime?
Hata mm nimenunua earpods za raino ovyo sana. Zinakita fresh. Ila usiziguse tu ndo uta enjoy.Hizo ni earphones wireless,.. Sensitivity yake inapeleka command kwenye simu. Ndiyo uboya wa hizi earpods za sasa.
Okay shukran,,ngoja nifanye ivoUnaweza kuizima Ila sio solution, kwa kuanzia tafuta brand nzuri, hata earphones za vitochi nzuri kama za Samsung, uone kama tatizo linaendelea.
Kwenye setting za Google Assistant jaribu kuweka off "hey Google" ama alternative phrase ambayo inaweza kuiamsha Google assistant kwa Sauti.
Na mimi natumia hizohizoHata mm nimenunua earpods za raino ovyo sana. Zinakita fresh. Ila usiziguse tu ndo uta enjoy.
Ndo madhara ya vitu bei chee
Umenunua za bei gani, maana hao jamaa wana mpaka za 200kHata mm nimenunua earpods za raino ovyo sana. Zinakita fresh. Ila usiziguse tu ndo uta enjoy.
Ndo madhara ya vitu bei chee
Mm nazipendea tu u cheap wake. Nazitumia mara Moja Moja.Na mimi natumia hizohizo
Unasema oraimo au raino?Umenunua za bei gani, maana hao jamaa wana mpaka za 200k
Unasema oraimo au raino?
Mm nimenunua 20k raino hizo za 200k si Bora nikachukie beats au jbl kabisa.
Kumbe ni raino hapo sawa , ila mchina ana balaa na hiz fake!
Beats na jbl zinaendaje, mi natumia oraimo zile zina case ya round, so far naona ziko fresh!