Shibuda si riziki CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Huyu mh mchango wake ukubwa ni kuandika mashairi. Tena ya siyo na kichwa wala mguu.

Kweli nime amini debe tupu....! Mwanaume mzima alihuzuria sherehe ya chikeni pati pale jamhuri stediumu.
 
Hayo ni anayo yafaham yeye nadhani apingwe kwa hoja
 

Mshauri atafute behewa jingine la ubunge. CDMA kuna kufuli la viro. Ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia kichwa chako maji. Ajue ubunge huu ni wa mwisho.
 
Shibuda kuanzia Leo sio mwanachama wa cdm
 
Shibuda ni shushu aliyetumwa na ccm kuja chadema na cdm tukamshtukia akawa.yupo pemben na sasa anajua tunamtema. Alipokuja chadema ndo hivyo hivyo alikuja kwa mbwwmbwe kibao mara ccm hawafai n.k. Tushamzoea na asubiri muda aangalie chama cha kwenda cdm hapamtoshi mana kila mwana cdm ni usalama na tukijua umetumwa na maccm tunakuweka pemben urudi kwa boss wako
 
Mimi nilimfukuza uanachama tokea tarehe 1 Nov. 2010 baada tu ya uchanguzi.
 
Uwepo wa SHIBUDA pale CHADEMA ni sawa na mwiba kidoleni au kupe mwilini.....hana faida zaidi ya hasara tu.......akiamua kuondoka atakuwa amefanya uamuzi wa busara sana....atuache wana mageuzi tuendelee na safari yetu inayokaribia kufika tamati miezi michache ijayo...........CHADEMA BILA SHIBUDA INAWEZEKANA..........
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…