mwanakwetu
Member
- Mar 30, 2008
- 89
- 14
Huyo yuko CDM kimwili lakini kiakili yuko CCM! Unajua kwenye msafara wa mamba na kenge wamo, hata Mheshimiwa mmoja wa zamani alisema "...yaacheni magugu na ngano vikue pamoja...iko siku ya mavuno inakuja mwenye shamba atavuna ngano na kuiweka ghalani, na magugu atayatupa motoni..!"
Shibuda alikuwa anataka ubunge tu kama alivyosema, sasa hivi anaogopa kujitokeza hadharani mbele ya wananchi (wenye shamba), mwacheni aongeze ruzuku na wabunge wa viti maalumu kwenye chama. Siku ya uchaguzi ujao (mavuno) ndo atakapo tupwa mbali!
good!......watch your quote!!!! hata kama wafuasi wa huyo aliyenena hayo maneno ni wastaarab lakini isiwe sababu ya kuwachokoza!!
Najua wapo watakao shtushwa na kichwa cha habari na kudhani mm ni kilaza kwa kuuliza swali ambalo lipo wazi. Nimeuliza maana nimeshindwa kumuelewa John Shibuda aliyekuwa kada wa CCM na baada ya kuchakachuliwa na kura za maoni akakimbilia CDM. Kinachonishangaza ni mwenendo wake kama mwanachama na mbunge kwa tiketi ya CDM amekuwa akipingana na sera na kanuni za chama hicho. Tumeshuhudia akikiuka msimamo wa pamoja uliowekwa na chama chake bungeni kwa kutohudhuria kikao kilichopangwa kugomea na kutoka nje wakati Mhe. Kikwete akilihutubia bunge. Kilichonishtua zaidi ni kwamba jana chama chake kilifanya maandamano katika wilaya ya Maswa Mashariki ambako yeye ndie mwakilishi wa jimbo hilo lakini hakushiriki. Tokea kuanza kwa maandamano na mikutano ya kanda ya ziwa JOHN SHIBUDA hajaonekana kwenye mkutano wala maandamano yoyote. Kulikoni hapa?
Shibuda ni kiongozi jasiri sana anayefanya mambo yake kwa umakini mkubwa na sio kwa kufata mkumbo . Wengi wa wanachama wa Chadema hivi sasa wanafata mkumbo. Hata jana jioni nilikutana na kijana mmoja Chadema damu nikamuuliza kwanini Chadema wanafanya mikutano na maandamano hivi sasa. hakua na hoja mahsusi ya kunipa mimi zaidi ya kusema wanapinga malipo ya dowans. Nilimuuliza mnapinga kwa maandamano au kwa kwenda mahakamani. Hakuwa na jibu.
hata hoja ya maisha magumu sioni kama Chadema wakipata maamlaka kisheria kuongoza nchi atakuwa na jipya.
Hongera sana Shibuda kusoma alama za nyakati , Jipumzikie tuli hapo Upanga.

sorry naomba nimtete mh shibuda hata kiduchu japo nahisi anataka kuwa kilaza.ni kwamba mim niko maswa na ni mbunge anayekubalika sana ila hakushiliki maandamano ha ya coz kafiwa na mama yake mkubwa hapa maswa.siku Dr slaa anafanya mkutano mjini maswa pia siku hiyo ndio yalikuwa mazish ya mama yake
Kweli CHADEMA hamna utu, mtu amefiwa na hamkwenda kuzika wala kumpa mkono wa pole , badala yake mmeamua kuendelea na mikutano. Je angekufa mama yake mkubwa na mbowe au slaa au wale wabunge wetu wa moshi na arusha mngefanya hivyo kweli ? ubaguzi utawamaliza CDM
Labda tusaidie pia kutufahamisha sababu ya Shibuda kutoshiriki hayo maandamano, inawezekana unajua kitu hadi ukapost thread. Na ukiwauliza wana Maswa watakwambia kuwa maandamano yalifurika watu haijapata kutokea. Walipita Malampaka wananchi wakalazimisha DR Slaa awahutubie bila kujali kuwa polisi hawajaarifiwa. Sasa ungeniambia watu hawakwenda mkutanoni kwa kuwa Shibuda hakuwepo ningekuelewa. Kwa taarifa yako 67% ya wabunge wa CCM wamekaa kimaslahi na hawakisaidii chama. afadhali hata ya Shibuda CDM.Najua wapo watakao shtushwa na kichwa cha habari na kudhani mm ni kilaza kwa kuuliza swali ambalo lipo wazi. Nimeuliza maana nimeshindwa kumuelewa John Shibuda aliyekuwa kada wa CCM na baada ya kuchakachuliwa na kura za maoni akakimbilia CDM. Kinachonishangaza ni mwenendo wake kama mwanachama na mbunge kwa tiketi ya CDM amekuwa akipingana na sera na kanuni za chama hicho. Tumeshuhudia akikiuka msimamo wa pamoja uliowekwa na chama chake bungeni kwa kutohudhuria kikao kilichopangwa kugomea na kutoka nje wakati Mhe. Kikwete akilihutubia bunge. Kilichonishtua zaidi ni kwamba jana chama chake kilifanya maandamano katika wilaya ya Maswa Mashariki ambako yeye ndie mwakilishi wa jimbo hilo lakini hakushiriki. Tokea kuanza kwa maandamano na mikutano ya kanda ya ziwa JOHN SHIBUDA hajaonekana kwenye mkutano wala maandamano yoyote. Kulikoni hapa?