Shibuda bado anaiota ccm. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shibuda bado anaiota ccm.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkute, Feb 15, 2011.

 1. mkute

  mkute Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kitendo cha Mr. Shibuda kutoa kauli za kuwashambulia wabunge vijana alipokuwa akichangia ktk kujadili hotuba ya Jk,kwa kuponda kile alichokiita harakati za vijana kudai mambo yao,ni wazi kabisa Shibuda bado ana mawazo ya ki-ccm,bado amejaa ndoto ya zidumu fikra mbovu za ccm.mie nilitegemea mtu kama yeye angetetea mabadiliko ambayo vijana wanayahitaji ktk nchi hii,lkn cha ajabu Shibuda anaejiita mkongwe wa siasa eti kwa kwepa mishale mingi ya kisiasa bado analeta siasa za vitisho! eti miaka mitano ni misumari mitano ktk jeneza la kisiasa kwa mbunge,anamtisha nani? lazima ajue kusoma alama za nyakati! Tunisia vijana walichoshwa na siasa za wakongwe kama kina Shibuda,Misri je hawakuhitaji tena kuogozwa na sera za ukongwe kama wanavyojidanganya Shibuda na mwenzie Cheyo bila shaka hawa ni bendera fata upepo bado wanaota ccm!TANZANIA YA LEO NI YA WATU MAJASIRI sio kunguru kama wao watuache hatutaki ushauri wa ovyo sisi! better to live a single day like lion than years bt coward NEVER!
   
Loading...