ile sio posho ni ujira wa mwihamkuu zitto mwenyewe kathibitisha hilo na kuelezea mbinu anazotumia kukataa posho. Wengine wote wanapokea tena kwa moyo uliokunjuka na mikono miwili. Anayeweza kusema against posho ndani ya chadema ni zitto tu wengine wote kimya. Regia yupo humu pamoja na mbunge wangu ndugu mnyika mbona hawajatoa kauli kama hawachukui posho za vikao?
Shibuda hayuko sahihi hata kidogo!!!!! CCM mnapotosha ukweli kila siku maana CHADEMA wanataka posho zote za vikao zifutwe serikalini, yawezekana hata hizo wanazopewa wabunge ni ndogo na wanazihitaji sana lakini uongozi ni kuonyesha mfano. Posho zisitolewe kwa wabunge kwanza au wabunge wenye hoja ya kukataa posho serikalini wazitae kwanza ndipo suala la kuzuia posho kwenye sekta nyingine serikalini liendelee.Mkuu niseme machache tu kuhusu shibuda:
- Pamoja na baadhi ya matatizo yake lakini mimi namuona kuwa ana ukweli na uhalisia ndani yake. Kuhusu suala la kumsusia Rais nadhani kuna mahala CHADEMA walikosea ndio maana baada ya muda walijirekebisha na kutoa kauli kusafisha hali ya hewa. Hawakupata uungwaji mkono mkubwa na wananchi kwa kitendo kile walichofanya. Pia haikuwa busara kuisusia karamu ya Rais ambapo Shibuda alihudhuria na si dhambi kushikana mkono na Rais.
- Kuhusu posho mimi nadhani shibuda yupo sahihi kunena anachokiamini kwamba posho hazitoshi kuliko kusema sema kwamba hatutaki posho huku wakizichukua. Hivi zaidi ya Zitto ni nani amesimama na kuzikataa posho?
<br />Ukongwe kweli ni mkongwe ukilinganisha na wengine, anastahili pia kusikilizwa na kama alijinadi mwenyewe anastahilu to be proud of. Mawazo tofauti ndio yanayo imarisha chama kuliko kudumisha fikra za makao makuu.<br />
Kushinda kwake kumeongezo mapato na sauti kwa cham, msiume maneno mfukuzeni ruzuku inaenda chini
Wataalamu wa vita wanashauri kwamba jeshi lako likidhibitiwa mstari wa mbele na adui yako ni busara kurudisha jeshi nyuma ili ujipange upya.Mkuu Zitto mwenyewe kathibitisha hilo na kuelezea mbinu anazotumia kukataa posho. Wengine wote wanapokea tena kwa moyo uliokunjuka na mikono miwili. Anayeweza kusema against posho ndani ya CHADEMA ni Zitto tu wengine wote kimya. Regia yupo humu pamoja na Mbunge wangu Ndugu Mnyika mbona hawajatoa kauli kama hawachukui posho za vikao?
Tatizo sio posho anayochukua Mbunge mmoja mmoja ila ni jumla ya posho zote kwa wabunge wote. Suala hili naliona linahitaji kufuatiliwa kwa msingi wake na sio uamuzi wa mbunge mmoja mmoja.Mkuu Zitto mwenyewe kathibitisha hilo na kuelezea mbinu anazotumia kukataa posho. Wengine wote wanapokea tena kwa moyo uliokunjuka na mikono miwili. Anayeweza kusema against posho ndani ya CHADEMA ni Zitto tu wengine wote kimya. Regia yupo humu pamoja na Mbunge wangu Ndugu Mnyika mbona hawajatoa kauli kama hawachukui posho za vikao?
Mkuu niseme machache tu kuhusu shibuda:
- Pamoja na baadhi ya matatizo yake lakini mimi namuona kuwa ana ukweli na uhalisia ndani yake. Kuhusu suala la kumsusia Rais nadhani kuna mahala CHADEMA walikosea ndio maana baada ya muda walijirekebisha na kutoa kauli kusafisha hali ya hewa. Hawakupata uungwaji mkono mkubwa na wananchi kwa kitendo kile walichofanya. Pia haikuwa busara kuisusia karamu ya Rais ambapo Shibuda alihudhuria na si dhambi kushikana mkono na Rais.
- Kuhusu posho mimi nadhani shibuda yupo sahihi kunena anachokiamini kwamba posho hazitoshi kuliko kusema sema kwamba hatutaki posho huku wakizichukua. Hivi zaidi ya Zitto ni nani amesimama na kuzikataa posho?
nakuunga mkono, na pia nashauri awekewe limitations huku ndani ya cdm ili asiendelee kuwa mwiba! nawashauri viongozi wa juu wa cdm waunde mfumo wa kuwaadhibu watu kama hawa! ili na wengine wajifunze, na pia magamba wajue kuwa mapandikizi yao hayafanyi kazi ndani ya cdm.Hivi Shibuda bado yuko CDM? Mimi nilifikiri alishahamia kwenye Chama Cha Magamba! Nafikiri huko ndiko kunakomfaa zaidi.
Inaonesha ulitaraji fadhila wewe...fanya kazi acha kutegemea viongozi wa kisiasa.Mh. Shibuda, hivi kweli wewe unasema mbele za watu na unajidai kwamba wana-Maswa ni wako!? Umesahau vijana tuliokusaidia kwa hali na mali maana ulikuwa huna uwezo wa kushinda. Kwanza Shibuda ulikuwa na doa la kumchezea mchezo mchafu JIDULA MABAMBASE ambaye alikufa mda si mrefu wakati wa kura za maoni za CCM.
Sisi vijana wa Maswa tunafahamu hata waganga wako (kamati ya ufundi), ulikuwa na waganga saba, ulienda siku moja kwa mganga wako wa Malampaka na alikutabiria mambo yako kuwa hayakuwa mazuri, vijana wa Kizungu, Dodoma, Kadoto, shishiyu,Mwabayanda wote kwa sasa tunakushangaa na tunakuona huna fadhila.
Wananchi wa Maswa tunataka mageuzi na mageuzi yataletwa na CHADEMA hakuna chama mbadala kwa sasa zaidi ya CDM. Kama unajidanganya unamtaji Maswa, sahau wananchi wameshakutoa maana.
Shibuda hayuko sahihi hata kidogo!!!!! CCM mnapotosha ukweli kila siku maana CHADEMA wanataka posho zote za vikao zifutwe serikalini, yawezekana hata hizo wanazopewa wabunge ni ndogo na wanazihitaji sana lakini uongozi ni kuonyesha mfano. Posho zisitolewe kwa wabunge kwanza au wabunge wenye hoja ya kukataa posho serikalini wazitae kwanza ndipo suala la kuzuia posho kwenye sekta nyingine serikalini liendelee.
CHADEMA wanaongoza kwa mifano na tukiwapitia nchi watatutoa tulipokwama. Mbowe amekataa shangingi la serikali ili serikali ijifunze kwake na kuona kuwa ni mzigo kuendelea kutumia magari hayo. ( Mbowe alikuwa tofauti na Mizengwe Pinda aliyekataa shangingi lakini akasema wampatie mtu mwingine!!)
Tatizo sio posho anayochukua Mbunge mmoja mmoja ila ni jumla ya posho zote kwa wabunge wote. Suala hili naliona linahitaji kufuatiliwa kwa msingi wake na sio uamuzi wa mbunge mmoja mmoja.