Shibuda aichana serikali ya CCM

Shibuda aichana serikali ya CCM

amepoteza muelekeo, au ni kama video ukiweka kanda yoyote inacheza ndiyo akili za huyu bwana
 
Kaina dalil za kutoswa 2015 dat why inabid ajitetee siasa imeshamshinda duu!!
 
Siku ya jumamosi mabwepande wote walikuwa wako kwa naibu spika Job Ndugai, wanakula nyama Kongwa Farm. kwa wanaokumbuka alilinadi shamba lao hilo! cha ajabu yy mwenyewe hakwenda pamoja nao!
 
Unafiki ni sumu mbaya sana katika ustawi wamendeleo na kujipambanua misimamo ya kinafiki nako ni kubaya sana kuliko ugonjwa wa ukoma
 
Hata kenge ukimuangalia kwa haraka,unaweza kufikiri ni mamba.
 
Back
Top Bottom