Kupata mimba na kujifungua ni wajibu wa mwanamke aliopewa na Mungu. Akijifungua na kutupa mtoto kama walivyofanya wa Mwananyamala Hsp, hataachwa-atashughulikiwa mpaka ajute kwa nini alipenda kusikilizia ma zeutamu kisha matokeo yake anayakataa! Hapa dume lake halihusiki.