Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,263 Reaction score 685 Jun 2, 2011 #1 Hivi kwanini watu wakiwa CCM shape zao zinabadilika?
rosemarie JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 6,887 Reaction score 3,445 Jun 2, 2011 #2 Kachanchabuseta said: Hivi kwanini watu wakiwa CCM shape zao zinabadilika? Click to expand... yule pale juu mwenye mawani naye ni mwanasiasa?
Kachanchabuseta said: Hivi kwanini watu wakiwa CCM shape zao zinabadilika? Click to expand... yule pale juu mwenye mawani naye ni mwanasiasa?
hope 2 Senior Member Joined Apr 28, 2010 Posts 154 Reaction score 7 Jun 2, 2011 #3 ufisadi...hela ambayo sio ya halali inavimbisha mwili...
pangalashaba JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 1,327 Reaction score 1,617 Jun 2, 2011 #4 mtorii said: yule pale juu mwenye mawani naye ni mwanasiasa? Click to expand... hapana ni muimba taarabu na nyimbo nyingine za kuifagilia ccm.
mtorii said: yule pale juu mwenye mawani naye ni mwanasiasa? Click to expand... hapana ni muimba taarabu na nyimbo nyingine za kuifagilia ccm.