moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,928
Kwa Mungu kila kitu kinawezekana kwani umeambiwa huyo shetani anaenda kukaa au anapita? Na unajuaje kama njia ya kwenda motono haipo jirani na mbinguni?Kwani shetani nae ataenda mbinguni mpaka apate nafasi ya kujipitisha kwenu?
Hahaha!!Kwa Mungu kila kitu kinawezekana kwani umeambiwa huyo shetani anaenda kukaa au anapita? Na unajuaje kama njia ya kwenda motono haipo jirani na mbinguni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Serious? unauliza maswali kama haya?!! una umri gani kijana?Kwa Mungu kila kitu kinawezekana kwani umeambiwa huyo shetani anaenda kukaa au anapita? Na unajuaje kama njia ya kwenda motono haipo jirani na mbinguni?
Sent using Jamii Forums mobile app