Shetani

Husband seeker

Senior Member
Joined
May 6, 2018
Posts
125
Reaction score
76
Masikini huyu.
Alidanganywa na shetani alipewa uzuri na utajiri basi akajidai kwa kila mtu akawa na kila kitu ila siku moja shetani akamjia akamwambia nakuhitaji sasa umefikia muda wakukuchukua binti akaogopa akaenda kanisani kutubu dhambi zake kufika akakutana na malaika niokoe kwanini msichana akadai kapewa utajiri na shetani anamtaka kuzimu anaomba amrudie Mungu.
Msichana alikuwa kwa nguvunza shetani hakuna mwanaume aliyemkataa alizuru sehemu zote kwa raha na baadae akawa na watoto na matajiri.
now anaomba msaada kwa malaika ila kuna moja aseme ukweli kwa watu na aokoke napia utajiri utatoweka wote na atakuwa wa Mungu msichana akawaza mali raha zote na kila kitu achague maisha ya kawaida au?
Akaja akaona ni bora umasikini kuliko kufa.
Ila baadae akaja kurudia umasikini na aibu maana alisema kila kitu.
watu walijua na kusikia .
ila baadae alikuja kupata Mume akaolewa naakawa Mama mzuri wa familia.
 
Last edited:
wewe mtafuta mume, hebu pangilia vizuri story yako
 
Mkuu naomba elezea tena kidogo,naona nimeelewa kwa mbali sana
 
Kumbe jana hatujalala wengi hiyo ilikuwa ni filamu niliwahi kuiangalia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…