Enzi zile kipindi tuko shuleni level ya msingi tukiwa darasani ilikua inatokea Ukimya wa ghafla ulokuwa unadumu kwa sekunde kama 3 mpaka 5 wakati unakuta watu mlikua mnaongea kwa makelele kabisa, then baada ya huo ukimya watu wanasema shetani kapita
Na sio darasani tu inaweza kutokea sehemu yoyote yenye mkusanyiko wa watu na kelele nyingi then ghafla unapita ukimya mzito
Je huu ukimya ulikua/huwa unasababishwa na nini?
Na huo msemo wa kupita shetani ulikuwa na maana yoyote ?