ninaye Binti nampenda saana kuliko yeye anavyoweza kufikiria. na yeye anajuwa kuwa nampenda kiivyo. sasa tatizo linakuja kuwa nina mke na watoto nifanyeje? na yeye nilianza kumpenda kabla sijaowa,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.