Jijini Hong Kong nchini China,ni ruksa kisheria kwa mwanamke kumuua mume wake endapo amemfumania(kachepuka)na mwanamke mwingine. Sheria hiyo inamtaka mwanamke kumuua mumewe bila kutumia silaha yoyote,maana yake atumie mikono yake mwenyewe kukamilisha zoezi hilo.
Ayo updates.