Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,434
😁😁😁😁😁😁 kuuliza jero kuelekezwa buku jumla buku jero6. Kama hujaelewa..... Uliza
Usiwe mchoyo ndugu,namba 7 kama unacho gawa kwa wenzio pia,usitumie peke yako.Kasoro hiyo namba 7 tu.
Uki-login.... log off.
Sasa watu wanataka kupiga stori na wewe utakaaje kimya? Kama hutaki stori nao waambie umetoka kung'oa jino,kwahiyo utakuwa umeshawajibu.15: Wakikuongelesha : Wajibu hii sio kweli.
Unajifanya kama unaongea na simu vile mara huonekani.2. ....Ukienda kuhani Msibani watu huwa hatuagiiii tangu enzi izooo, unakata kona unasepaaaa ata sijui kwa nini?
4.... in changamoto kwenye maswala mengi ikiwemo ahadi ya ndoa/kuoanaaa
20... ajuaye siri ya kilichoko MTUNGINI ni mwenye mtungi
Hizo sheria zinatumika kama tu huna pesa, ukiwa na pesa huna haja ya kufuata hata kimoja hapo.1. Ukifika sehemu.... Salimia
2. Ukiondoka sehemu..... Aga
3. Ukisaidiwa....... Shukuru
4. Ukiahidi...... Tekeleza
5. Ukikosea.... Omba msamaha
6. Kama hujaelewa..... Uliza
7. Unacho... Gawa kwa wengine
8. Huna.... Usione donge
9. Ukivunja.... Lipa
10. Kama hupendi...... Heshimu
11. Ukipenda... Onesha upenda
12. Huwezi kusaidia... Usisumbue
13. Ukiharibu... Rekebisha
14. Ukikopa.... Lipa
15. Wakikuongelesha.... Wajibu
16. Ukiwasha....... Zima
17. Ukifungua...... Funga
18. Ukinunua.... Lipa
19. Ukichafua..... Safisha
20. Ukitia mimba.... Hudumia
Ukizifuata sheria hizi,utaona jinsi utakavyoishi na watu vizuri hata kama huna hela,hii ni kwa binadamu wote hata kama ni kiongozi.
Nalog off
7 unacho...saidia wengine kulingana na uwezo.1. Ukifika sehemu.... Salimia
2. Ukiondoka sehemu..... Aga
3. Ukisaidiwa....... Shukuru
4. Ukiahidi...... Tekeleza
5. Ukikosea.... Omba msamaha
6. Kama hujaelewa..... Uliza
7. Unacho... Gawa kwa wengine
8. Huna.... Usione donge
9. Ukivunja.... Lipa
10. Kama hupendi...... Heshimu
11. Ukipenda... Onesha upenda
12. Huwezi kusaidia... Usisumbue
13. Ukiharibu... Rekebisha
14. Ukikopa.... Lipa
15. Wakikuongelesha.... Wajibu
16. Ukiwasha....... Zima
17. Ukifungua...... Funga
18. Ukinunua.... Lipa
19. Ukichafua..... Safisha
20. Ukitia mimba.... Hudumia
Ukizifuata sheria hizi,utaona jinsi utakavyoishi na watu vizuri hata kama huna hela,hii ni kwa binadamu wote hata kama ni kiongozi.
Nalog off
Huwezi gawa zaidi ya uwezo wako mkuu.7 unacho...saidia wengine kulingana na uwezo.
Ukigawa si utaishia kuwa masikini.
😂😂😂😂 pesa ni noma sana,sheria ndio zinakufuata wewe.Hizo sheria zinatumika kama tu huna pesa, ukiwa na pesa huna haja ya kufuata hata kimoja hapo.
Ukitongozwa kama ni demu .......kubaliUsiwe mchoyo ndugu,namba 7 kama unacho gawa kwa wenzio pia,usitumie peke yako.
ukilog in basi log off[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeikubali
Nalog off
Haya yote yanamezwa na neno moja tu HEKIMA1. Ukifika sehemu.... Salimia
2. Ukiondoka sehemu..... Aga
3. Ukisaidiwa....... Shukuru
4. Ukiahidi...... Tekeleza
5. Ukikosea.... Omba msamaha
6. Kama hujaelewa..... Uliza
7. Unacho... Gawa kwa wengine
8. Huna.... Usione donge
9. Ukivunja.... Lipa
10. Kama hupendi...... Heshimu
11. Ukipenda... Onesha upenda
12. Huwezi kusaidia... Usisumbue
13. Ukiharibu... Rekebisha
14. Ukikopa.... Lipa
15. Wakikuongelesha.... Wajibu
16. Ukiwasha....... Zima
17. Ukifungua...... Funga
18. Ukinunua.... Lipa
19. Ukichafua..... Safisha
20. Ukitia mimba.... Hudumia
Ukizifuata sheria hizi,utaona jinsi utakavyoishi na watu vizuri hata kama huna hela,hii ni kwa binadamu wote hata kama ni kiongozi.
Nalog off
Waambie hao sio wanatubaniaUkitongozwa kama ni demu .......kubali
Ukitia mimba mwanafunzi kimbia nchiUkitia mimba-hudumia!!! Inategemea Kama ni mwanafunzi wewe ndo utahudumiwa kwa kuwekwa lupango.
Ahsante.Haya yote yanamezwa na neno moja tu HEKIMA
Hajakutana na timbwili timbwili la binti wa uswazi, anaongea kama kameza memory kadi. Unajibu hili ameshaongeza mengine kama matano, lazima uingie chaka.15: Wakikuongelesha : Wajibu hii sio kweli.