JMF
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 1,751
- 2,749
Salaam wakuu.
Naomba kwa anayejua taratibu na sheria za kutumia gari lenye namba za kigeni (za Afrika kusini au za Msumbiji au Kenya) kwa Tanzania tafadhali. Mfano nataka kutumia kwa muda wa mwaka mmoja kisha nirudi nayo. Au usajili wake nikitaka kubadili iwe ya namba za tz gharama ni kama za kuagiza moja kwa moja kutoka Japan?
Asanteni