Sheria za jela

Sheria za jela

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,919
Ukiuluza saa lazima upigwe unatakakukimbia na wakikukuta umeegemea ukuta wanasema unataka kubomoa ukuta ukimbie
 
Wakikukuta unaangalia juu ya bati wanasema unataka kutoboa bati ukimbie
 
Na kama mnalima ukibaki nyuma unapigwa kiboko unategea ukienda mbele unapigwa kiboko unataka kukimbia wote inatakiwa muwe mstali mmoja
 
Hamruhusiwi kuwa wawili au namba inayogawanyika kwa mbili,lazima muwe watatu au watano
 
Wanadai mkiwa wawili ni rahisi kushauriana kutoroka bila kuwepo atakayepinga ila mkiwa watatu au watano wanaamini kuna mmoja atapinga.
Kuhusu kunenepa aisee sijui ujue jela ni milo miwili kwa siku
 
nasikia mume na make ni jinsia moja unaweza kuwapita ukijua ni masela kumbe ni Mr na Mrs.
 
Bwana jela akikuita ukiitika namu lazima upigwe halafu anakuuliza unaitika namu mimi baba yako inatakiwa uitike ndio mkuu
 
Back
Top Bottom